Ukraine Kushiriki Moja kwa Moja Kombe la Dunia

 Timu ya taifa Ukraine itakwenda kushiriki michuano ya kome la Dunia moja kwa moja kama ilivyothibitishwa na Chama cha soka nchini Wales kuwa mazungumzo yamefanyika na FIFA kuhusu swala hilo.

Scotland ilipaswa acheze na Ukraine machi 24 kwenye nusu fainali ya kufuzu kucheza kombe la dunia nchini Qatar, lakini mchezo uliharishwa hadi juni kutokana na uvamizi wa Urusi, wakati Wales na Austria mchezo wao watacheza kama ulivyopangwa.

Ukraine

 

Mkurugenzi wa chama cha soka nchini Wales Paul Mooney alisema, “ilikuwa wazo la wales kama tungeweza kulifanya hili ingekuwa kitu kizuri kufanya, ni jambo kama binadamu ungesema sawa, kama hawataweza kucheza mwezi juni inabidi wapewe nafasi kuingia moja kwa moja.

‘Kulikuwa na mwanya wa mazungumzo haya, kusema kungepatikana nafasi ya ziada kwa Ukraine, kwa sababu ya mambo ya kutisha yanayoendelea kwao, lakini tunamaanisha nafasi ya ziada kwenye kome la dunia, kama huku zikibaki tatu, sisi wenyewe, scotland na Austria na kitu kikubwa kwetu ni kushiriki kombe la dunia.

“Kwa mtazamo wetu sisi watatu tumeridhia kumpa nafasi Ukraine ya kuingia, halafu sisi wengine tushindane wenyewe kupata nafasi ya timu moja kushiriki.”


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.