Klopp Ratiba ya Christmas ni Ngumu

Kocha mkuu wa klabu ya liverpool Jurgen Klopp amenukuliwa akissema kuwa ratiba ya michezo ya Christmas haiko sawa lakini anaukubali utamaduni huo wa michezo kufuatana kipindi cha Christmas.
Liverpool watawakaribisha klabu ya Leeds United tarehe 26 Disemba kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uingereza siku ya Boxing Day, kabla ya kusafiri siku mbili baadae kwenda kwenye dimba la King Power Stadium kucheza na klabu ya Leicester City tarehe 28 Disemba.

 

Klopp
Jurgen Klopp

Disemba mara zote umekuwa ni mgumu, kila kitu kinakuwa sawa mpaka Christmas, tarehe 26/28, si sawa kucheza, tunakubali hilo, tunacheza, ila ni utamaduni lakini kwa kweli ni mgumu sana, January sio mwezi mzuri maana muda mwingi unakuwa kwenye makombe ni sawa na Disemba, kwaiyo tuna miezi miwili migumu mbele yetu.”  Klopp

Siku ya Jumapili klabu ya Liverpool wanasafiri hadi kwenye jiji la Wolverhampton kuwavaa Wolverhampton Wanderers kwenye dimba la Molineux Stadium kuendeleza wimbi la ushindi kama watapata nafasi kuondoka na pointi tatu baada ya kutoa kichapo kwa Everton.


MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.