Mlinzi wa Ac Nilan Simon Kjaer atakuwa nje kwa msimu mzima baada ya kupata majeraha ya goti, kwenye mchezo ambao Ac Milan walishina goli 3-0 dhidi ya Genoa wiki hii, huku Kjaer akijiandaa kufanyiwa upasuaji.
Simon Kjaer amekuwa na msimu mzuri tokea alipowasiri kwenye klabu ya Ac Milan mwaka 2020 Januari, na amefanya mapinduzi makubwa kwenye safu ya ulinzi, pia ameisaidia klabu ya Ac Milan kurudi kwenye ubora wake kwenye ligi ya Italia na ligi ya Ulaya pia.
Simon Kjaer ametengeneza muung’aaniko mzuri kati yake na Fikayo Tomori kwenye nafasi ya ulinzi wa kati, kwa sasa mbadala wa kuchukua nafasi yake ni Alessio Romagnoli ambaye alipootezza nafasi yake kwa kjaer na sasa anarudi kama mbadala.
kjaer anatarajiwa kuwa nje kwa muda wiki sita, na atakapo rudi atakuwa ametimiza miaka 33, wakati msimu utakuwa ushaisha na wanajiandaa na msimu mpya wa 21/22.
Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.



