Klopp: Tulistahili Ushindi Dhidi ya Tottenham

Jurgen Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa walistahili kushinda mchezo wa Ligi Kuu England usiku wa kuamkia leo mbele ya Tottenham inayonolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho.

Ikiwa ugenini Uwanja wa Tottenham Hotspur iliweza kushinda mabao 3-1 na kusepa na pointi tatu ambapo ilianza kufunga bao la kwanza dakika ya 45+4 kupitia kwa Robert Firmino.

 

Spurs walipata bao kipindi cha pili kupitia kwa Pierre Emile Hojberg dakika ya 49 na kasi ya Liverpool iliendelea kupitia kwaTrent Alexander Arnold dakika ya 47 na msumari wa mwisho ulipachikwa na Sadio Mane dakika ya 65.

Klopp amesema:”Tulistahili kushinda na vijana walijituma nankutumia akili ndani ya uwanja kwani mchezo ulikuwa mgumu, “.

Mourinho amesema kuwa makosa ya ulinzi yamewaponza ndani ya dakika 90 jambo lililowafanya waweze kupoteza mchezo huo.

Ushindi huo unaifanya Liverpool kukusanya jumla ya pointi 37 ikiwa nafasi ya nne na Tottenham inabaki na pointi zake 33 ikiwa nafasi ya 6 na kinara ni Manchester City mwenye pointi 41.


MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

15 Komentara

    Klopp anajifariji tu kwa ule ushindi

    Jibu

    Klopp yupo sahihi

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    klopp yupo sahihi

    Jibu

    Mnajikosha

    Jibu

    klopp yupo sahihi

    Jibu

    Klopp kikosi chake kimeyumba sana

    Jibu

    Klop Yuko sahihi

    Jibu

    Ushindi huo unaifanya Liverpool kukusanya jumla ya pointi 37 ikiwa nafasi ya nne na Tottenham inabaki na pointi zake 33 ikiwa nafasi ya 6 na kinara ni Manchester City mwenye pointi 41.

    Jibu

    Klopp kwa sasa anayumba

    Jibu

    Klopp yuko vizuri

    Jibu

    Ilikuwa bahati kwao

    Jibu

    Nakubalii

    Jibu

    Yupo sahihi

    Jibu

    kabisa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.