Kocha wa Leeds United, Marcelo Bielsa amesisitiza kutokuwa na haraka kuhusu maongezi ya mkataba mpya klabuni hapo.
Bielsa amekuwa akisaini mkataba wa miezi 12 kwa muda sasa na mkataba alionao, unamalizika mwishoni mwa msimu huu.
Inaaminika uongozi wa klabu ya Leeds, umefurahishwa na utendaji kazi wa Bielsa ambaye pia ameiwezesha timu hiyo kurejea kwenye EPL msimu huu. Tangu alipojiunga na klabu hiyo (2018), Bielsa ameendelea kuishi katika mfumo wake wa kujadili mkataba mpya baada ya kila msimu kumalizika.
“Sinatatizo na maisha ndani ya Uingereza. Kuwa na mkataba wa mwaka mmoja, haimaanishi siwezi kuendelea kuwepo hapa.” amesema Marcelo Bielsa.
Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!



Dorophina
Marcelo anajiamini ndiomaana hana papara
Adelta
Marcelo Yuko sahihi
Magdalena
Ana uhakika na maisha
Sania
Marcelo anajiamini sana
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri yupo sahii
felister
nampendaga Marcelo jamaniii
Caroline
Good
Khadija
Nice
Mwanahamisi
Good
David Pere
Marcelo anajiamini ndiomaana hana
Issa
Bilesa irudishe Leeds kwenye hadhi yake
Neema juma
Anajiaminii sana
Ernest Kimeru
Marcelo Bielsa alianza vizuri sana kwenye Epl lakini sasa dhahiri wachezaji wake wameonekana kuanza kuchoka
Hopemwaikuka
Sawaaa
Sarah
Good
warda
Safi sana hana presha