Kocha Mbeya Kwanza Afungiwa Miaka 5.

 

Kocha Mbwana Makata na Meneja David Naftali wa Mbeya Kwanza FC wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo, tukio lililosababisha mchezo wa timu yao dhidi ya Namungo FC kutofanyika.

 

Kamati ya saa 72 ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imeipa Namungo FC pointi 3 na mabao matatu na kusema imejiridhisha Mbeya Kwanza waligomea mchezo huo licha ya taratibu kuwa sawa, kwani gari la wagonjwa lilifika uwanjani dakika ya 23, ikiwa ni dakika 7 kabla ya kuvuka muda wa Kanuni.

Aidha, Kocha wa Dodoma Jiji, Masoud Djuma na Mchezaji wa timu hiyo, Jamali Mtegeta wamefungiwa michezo mitatu na faini ya Tsh 500,000 kila mmoja kwa kosa la kushambuliana kwa mateke wakati wa mechi ya timu yao dhidi ya Biashara United.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe