Koeman Amjibu Di Maria Kuhusu Messi

Kocha wa Barcelona, Ronard Koeman amemtaja Di Maria kama hanaheshima hii ni baada ya kusema anaimani Lionel Messi ataungana nae PSG.

Messi anamaliza mkataba wake ndani ya Barcelona mwisho mwa msimu huu na kumekuwa na hali ya sintofahamu kuhusu hatma yake baada ya mkataba huu.

PSG watapambana na Barcelona kwenye hatua ya 16 bora kwenye Ligi ya Mabingwa – UEFA, Februari 16 mwaka huu.

Messi akiwa na Di Maria kwenye timu ya Taifa ya Argentina.

“Ndio ndio, ninaamini hivyo. Kuna uwezekano mkubwa. Tunapaswa kuwa watulivu wakati huu ambapo mambo mengi yanaendelea.” Alisema Di Maria baada ya kuulizwa kama Messi ataungana nae Paris.

“Sio sawa kuongea kitu kama hicho, hasa wakati huu ambao tunakutana kwenye Ligi ya Mabingwa.

“Ninadhani sio sawa na ni kukoseana heshima, kumuongelea mchezaji mmoja ambaye bado ni mchezaji wa Barcelona.” Alisema Koeman kuhusu alichokisema Di Maria.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

11 Komentara

    Inabidi Di Maria apewe adhabu ili iwe fundisho kwa wachezaji wengine

    Jibu

    Mhh Di Maria karikoroga

    Jibu

    Ngoja tuone mwenyewe Messi maamuzi yake ni yapi

    Jibu

    Di Maria hajakosea kitu chochote

    Jibu

    Mi naona uyo Messi wamuache aende anapopataka

    Jibu

    Di malia kazi anayo

    Jibu

    Messi ndie mwenye maamuzi tusubilie mkataba wake utakapoisha

    Jibu

    Inabidi Di Maria apewe adhabu ili iwe fundisho kwa wachezaji wengine

    Jibu

    Bora asep barca kutulie

    Jibu

    🤔🤔

    Jibu

    waungane tu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.