Kubeti kwa Kitochi Inalipa Mno!

Kuna watu hawapendi kabisa kubetia kwa kutumia intaneti, huenda bando linakata kata ama linakuwa dogo na linakufanya ushindwe kufurahia kubeti na kushinda hela zaidi ukiwa mtandaoni, sasa mambo yamekuwa mcharo sana!

Kama una kitochi ama simu yako ya smartphone haina bando bado unashinda ukiwa na Meridianbet Tanzania. Mfumo wa kubeti kwa kitochi ama kwa kupiga nyota namba reli unaitwa KUBASHIRI KWA USSD na sisi tunatumia njia hii rahisi kabisa: *149*10#

Kutengeneza vipi akaunti ya ubashiri kwa USSD?

Ili kufungua akaunti ya kubeti kwa USSD ukiwa na Meridianbet basi bonyeza *149*10# kwenye namba yako ya TIGO na ukubali vigezo na masharti.

Kuweka pesa kwenye akaunti ya USSD kwa TIGO Pesa

Kuweka pesa kwenye waleti ya USSD unabonyeza *150*01#, chagua kulipia bili na kisha weka namba ya kampuni ambayo ni 777111. Kumbukumbu namba ni namba yako ya TIGO Pesa (mfano: 255….)

Kumbuka: Waleti yako ya Meridianbet USSD ni tofauti kabisa na Meridianbet.co.tz

Ninaweza kutumia pesa ya kwenye akaunti ya Meridianbet.co.tz kubetia USSD?

USSD ni tofauti kabisa na akaunti ya Meridianbet.co.tz kwa tovuti au app.

Ili kuweka pesa kwenye waleti ya USSD tafadhali weka namba ya biashara kuwa 777111 ukiwa na namba yako ya simu kama namba ya kumbukumbu ya malipo.

Kulipia tiketi kwa kutumia Tigo Pesa

Ukiwa umeshaandaa tiketi yako kwa USSD utatumiwa kumbukumbu namba yako. Bonyeza *150*01#, chagua kulipia bili na uandike namba ya kampuni 777111 pamoja na kumbukumbu namba ambayo ilitumwa kwako kwa njia ya sms.

Ninawekaje pesa kwenye waleti ya USSD kwa akaunti nyingine ya TIGO Pesa?

Waleti yako ya USSD imeunganishwa moja kwa moja na namba yako ya simu ya TIGO Pesa. Matokeo yake, unaweza kuweka pesa kwa namba yako tu ambayo ndiyo iliyotumika kufungua akaunti yako.

Usilaze damu kwani kuna ushindi mpaka milioni 300 ukiwa kwetu hapa!

Makala iliyopita
Makala ijayo

50 Komentara

    meridian mpo vzr co lazima mpk uwe na smartphone hata kitochi unabet na unashinda duuh asanteni sana big up kwenu

    Jibu

    Kwer mnajar watu wote mko vzr

    Jibu

    Meridian mko vizuri

    Jibu

    Mmetulahisishia Sana kwetu sisi tusiokuwa na simu janja

    Jibu

    #meridianbet mko vizuri na mnawajali watejawenu

    Jibu

    Meridian ndio mpango mzima

    Jibu

    Kweli inalipa sanaaa

    Jibu

    Safi sana #meridianbettz

    Jibu

    Kweli raha meridian hamtaki wateja wenu tupate shida ninaipenda hivi mnavyotujali

    Jibu

    Hiyo nimeipendaa Sana👍 nikiwa na kitochi nateleza tu na meridiani

    Jibu

    Good opportunity 👍# meridianBetTZ

    Jibu

    Vizur sana meridian

    Jibu

    Wa vitoch hawajasahaulika safi sana

    Jibu

    Ahsant sana meridian kwa Mambo mazuri

    Jibu

    Da hii babukubwa #meridianbettz

    Jibu

    Sisi wa mitandao mengine kama mmetuacha kwenye mfumo wa ussd code

    Jibu

    Mmejua kunifurahisha#Meridianbettz

    Jibu

    asanteni meridian kwa kuturahisishia maana sisi wengine ata smartphone hatuna

    Jibu

    Waoooo hii ni nzuri sana mnajalii sana wateja wenu

    Jibu

    Safi sana kwa kutokubagua wateja wenu

    Jibu

    Meridianbet mnatisha

    Jibu

    Safi sana meridianbet mmejua kutupa uhondo

    Jibu

    Hii imekaa poa sana

    Jibu

    Asante kwa kutujali wateja wenu🙏

    Jibu

    mmefanya jambo zuri sana meridian#meridianbettz

    Jibu

    Mna Tisha Sana meridianbet.🤸🤸🤸🤸

    Jibu

    Kubeti na kitochi kupitia mtandao wa tigo kizuri Sana Wala hakukumpi mteja asiye na smartphone mawazo #meridianbet

    Jibu

    Mko vizuri meridianbet hamna mpinzani

    Jibu

    Ipo vizuri. Muda wote meridianbet mnakubalika.

    Jibu

    Hapa ni kupambana mwanzo mwisho

    Jibu

    Ipo vzr sana thanks meridian kwa information za Moto moto

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Yani hatakama sina bando niko hewan

    Jibu

    Hii imekaa pouwa sana Meridianbet, nadhani sitopata tabu kwenye upande wa kudeposit hela na kutoa maana huwa tunapata tabu sana zikikwama adi tunashindwa kubeti.

    Jibu

    Iko vizuri Sana Safi meridianbet kwa kutujali wateja wenu bila kubagua

    Jibu

    Kitochi nacho kumbe kinamajabu kiasi iki noma sana metisha wakuzee

    Jibu

    Hii ni zaidi ya upendo kwa wateja wenu kwani sio wote wenye uwezo wa kununua smart hongereni sana meridianbet

    Jibu

    USSD inabamba sana na Bonus nene. Bonge la ubunifu #Meridianbettz

    Jibu

    Duh.safi sanaa meridianbet

    Jibu

    Mko vizuri sana.

    Jibu

    Meridianbet #muko juu

    Jibu

    Meridian mko vizuri

    Jibu

    Habari njema kwa wadau wa vitochi

    Jibu

    asanteni kwa kutujal mana sio wote wenye uwezo kumiliki smartphone

    Jibu

    Mpovizuri meridian nawakubali

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Safi Sana meridian nihabari njema

    Jibu

    Hakika mpo Vzr meridian mna tujari wateja wenu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.