Usiyojua Kuhusu SRL

Nini maana ya Simulated Reality League, SRL na namna gani unaweza kuibetia?

The Simulated Reality Soccer League inatumia uwezo wa kufanya kazi wa mashine za kompyuta kuangaza ubora wa timu na inakuwa kama ambavyo huwa timu ya kawaida halisi.

Inafanyaje kazi?

Inakupatia uzoefu wa kubetia na uhondo ambao unakaribiana na ule ambao huwa katika uhalisia kadri inavyowezekana! Gemu inachezeshwa kwa historia ya mechi 50,000 na inalenga kukuonesha gemu kama ambavyo ingekuwa kiuhalisia.

Muda wa mechi kuchezwa?

Gemu inachezwa kwa muda kamili wa dakika 90 kukiwa na mamia ya machaguo ya kubetia ukiwa na Meridianbet, inajumuisha odds za kabla ya mechi na ZINAZOENDELEA UWANJANI!

Ninabetiaje gemu za Simulated Reality League nikiwa na Meridianbet?

Ni rahisi, unabetia mtandaoni au madukani kama ambavyo ungebetia kipindi cha mwanzo – kama vile timu zikiwa zinacheza. Unabetia kwa kutumia mbinu zilezile za mwanzo, maono yaleyale na takwimu zilezile za kihistoria ukibetia na Meridianbet.

Napata wapi matokeo ya mechi?

Matokeo yatakuwa yanapatikana kwenye kituo cha kutolea matokeo na kipo katika matengenezo ambapo itakuwa hewani muda si mrefu.

29 Komentara

    Asante kwa taarifa nzuri

    Jibu

    Good opportunity 👍# meridianBetTZ

    Jibu

    Daaah..!hizi azieleweki zengine azifiki dk 90

    Jibu

    meridian mna mambo mengi na mazuri sana

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridian.

    Jibu

    👏👏👏👏

    Jibu

    Thanks meridian kwa information na burudani ya kisport 🤝🤝🤝

    Jibu

    Asnte kwa taarifa meridian

    Jibu

    Safi habari nzuri za michezo.

    Jibu

    Habari njema kwa wateja#asante meridianbet kwa kutujali..

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Asanteni sana meridianbet kwa maelekezo mazuri

    Jibu

    Thanks meridian bet tz kwa habar za michezo za Moto moto

    Jibu

    habari nzr

    Jibu

    Safi sana habari nzur za michezo

    Jibu

    Safi sana habari nzur

    Jibu

    Ni Idea nzuri haswa kipindi hiki league nyingi zimesimama lakin hapa wateja wenu tunapata tabu upande wa kupata matokeo.

    Jibu

    Asante kwakutujali wateja wenu

    Jibu

    Habar nzur kwetu

    Jibu

    Asanteni kwa maelezo na ufafanuzi mzuri #meridianbettz

    Jibu

    Changamoto inapotokea ni wakati wa kuonyesha misuri ya Ubongo, simulated ni moja ya product inayoonyesha matumizi bora ya Ubongo # Meridianbettz

    Jibu

    Ni habari njema Sana hizi

    Jibu

    Asante kwa taarifa nilikuwa nina ufahamu mdogo sana kuhusu huu mchezo

    Jibu

    Mmetisha kwa kutujuza habari za kimichezo

    Jibu

    gud newz asante

    Jibu

    Nimeielewa sasa

    Jibu

    asante kwa taarifa

    Jibu

    Duh mpo Vzr meridian Sana kwa uchambuzi maan nilikuwa sielewi hata maan ya srl

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.