Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Yanga na Mkurugenzi Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, Injinia Hersi Said, ametamba kuwa kwa usajili mpya na wa kisasa wanaoendelea kuufanya unampa matumaini makubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la FA msimu wa 2020/21.
Kauli ya bosi huyo wa GSM imekuja baada ya kukamilisha usajili wa wachezaji wawili wa kimataifa wanaokipiga AS Vita ya DR Congo, winga Tuisila Kisinda na kiungo mkabaji, Mukoko Tonombe.

Wachezaji wengine wapya waliosajiliwa na Yanga ni Yacoub Sogne, Yassin Mustapha, Farid Mussa, Zawadi Mauya, Kibwana Shomari, Bakari Mwamnyeto, Waziri Junior na Abdallah Shaibu ‘Ninja’.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


warda
Hamna Kitu HapaTusubili Tarehe 18tu#Meridianbettz
JULIANA
Asante kwataharifa
Magdalena
yanga kujifariji tu nawapongeza ila kamati ya ufundi kazi ya ziada wanayo vinginevyo watasikia ushindi katika vyombo vya habari
Zeiyana
Subiri tuone wanaume kazni
Lydia Emmanuel Magoti
Hahahah Mimi nasubilia patapo chimbika uwanjani Kama wapo sawa hauraha kwasababu usikisifie kitu atujakiona ubola wake ndio Apo tutapo ana uwanjani
felister
yanga mbele daima
Samira
Ngoja tuone wataisaidia vipi yanga kuwatoa katika janga lao lakutokuchua ubingwa
Sadick
Usajiri umekuwa na mbwembwe nyingi sana,tusubiri matunda uwanjani#meridianbettz
Asia Abdy
Shuhul hamna apo
Ester jackson
Kwa maoni yangu kusajili wachezaji maarufu sio ushindi kutokana na kule tulipo toka tunataka vitendo mashabiki na sio kujigamba bila faida .
Dorophina
Kwa usajili huu tunasubilia maajabu uwanja wa mkapa tarehe 18
Mwajumah
Tusubili tuone tu iyo tarehe 18 wanaume kazin#Meridianbettz
Janeflora malisa
Tusubir matokeo
Ernest
Kweli yajao yanafurahisha ndani ya ligi ya VPL
Caroline
Yanga tumejipangaaaaa
Khadija
Tunasubili tuone maajabu hiyo siku ikifika#meridianbettz
Adelta
Mashabiki tupo tunasubiri matokeo
@meridianbettz
Fatina mfingi
Yanga hamna lolote atuogopi ucjali wenu!!
Hope mwaikuka
Yanga buana
Sabrina
Kwa usajili huu wapinzani wasubiri waone
Saupha mohamed
Mmmh tusubili matokeo
Furahav
Hongereni yanga.
Devotha
Usajili ni mzuri tumasubiri matokeo ligi itakapoanza
Issa
Yanga imepania kuonyesha uwezo msimu ujao ni vyema kujipanga
Gabriel
Yanga usajil wao uko vizur sio wa kukurupuka mukoko bonge la mchezaji yuko vizur sana 👍
Shafii
Hatutaki masihara msimu ujao.
Rehema
Big up yanga
Omary lukumbi
Big up Dar young Africa na kazi itakuwepo msimu ujao
Sauda
Safi sana Yanga
aisha
Acha tusubili tuone
Amiri Kayera
League ikianza tutajua uwez jua wao
Shan
Kila la kheri kwa wana yanga!
Povel
Kila la kheri Timu ya wananch i
David Pere
Kwa maoni yangu kusajili wachezaji maarufu sio ushindi kutokana na kule tulipo toka tunataka vitendo mashabiki na sio kujigamba bila faida .