La Liga Wanafikiria Kuruhusu Mashabiki Hispania!

La Liga wanaweza kuanza kuwaruhusu mashabiki kuhudhuria dimbani kwenye mechi za wiki nne za mwisho za msimu wa 2020-21.

Mashabiki kwa sasa hawaruhusiwi kuingia uwanjani kuhudhuria mechi kutokana na masharti ya kupambana na korona yanayofuatwa kitaifa na ukanda mzima wa kuepuka mikusanyiko.

Hata hivyo, kwa mujibu wa taarifa toka Hispania, jambo la kuruhusu mashabiki limewekwa mezani, na linafikiliwa ikiwa linaweza kutumika katika wiki za mwisho za mechi za ligi.

Kutokuwepo kwa mashabiki kumeathiri sana sekta ya michezoi, vilabu vikipata mapato machache kuliko awali. Ripoti zinasema kuwa mpango mamlaka za La Liga ambao upo mezani sasa, ni kurejesha mashabiki kuanzia wikiendi ya pili ya mwezi Mei.

Hii inatarajiwa kuhusisha asilimia 25 ya uwezo wa uwanja, na mashabiki wa ugenini hawataruhusiwa. Pia mashabiki watatakiwa kuvaa barakoa na kutosimama au kushangilia kwa umbali wa karibu na wengine.


 

Kwani Meridianbet Wanasemaje! Mkwanja Upo Kwenye Kasino mpya ya Mini Power Roulette.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

12 Komentara

    Itakuwa poa sana tulimisi sana raha mechi kushangiliwa#meridianbett#

    Jibu

    Safi sana mashabiki wana umuhimu wao

    Jibu

    Kama covid hamna itakua pouwah sa a

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Tujifunze kuishi na covid

    Jibu

    Italeta hamasa sana

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Wachukue tahadhari za kutosha

    Jibu

    Wawaruhusu tu

    Jibu

    Itakuwa poa tuuu

    Jibu

    Mashabiki muhimu ila covid sio poa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.