Lando Norris Aongeza Mkataba na McLaren.

 

Mwana Langalanga, Lando Norris amesaini mkataba wake mrefu wa Formula 1 na timu ya McLaren ya Uingereza kwa kuongeza mkataba wa miaka minne mpaka 2025.

 

Mkataba huo mpya unamaanisha kuwa Norris sasa ana kandarasi ndefu zaidi kwenye mchezo wa F1 na inawaunganisha nyota wa Uingereza na timu mashuhuri ya Uingereza pamoja katika enzi mpya ya mchezo huo, huku timu ya McLaren ikitumai kurejea kwenye njia ya kushinda mataji.

Mkataba huo hauna vifungu vya kujiunga na timu za nje, ingawa Norris alikiri kumekuwa na mazungumzo kidogo hapa na pale na timu nyingine mwaka uliopita.

“Nimekulia katika timu hii na mimi ni sehemu ya safari hii ambayo sote tuko,” alisema Norris, 22, ambaye ameshangaza tangu ajiunge na F1 kama dereva mdogo zaidi kuwahi kutokea Uingereza mnamo 2019.

“Nataka kuendelea kujaribu kufikia ndoto yetu hiyo na kujaribu kushinda mbio, na bila shaka kujaribu na kushinda ubingwa.” aliongeza.`


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.