Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Liverpool na Senegal Sadio Mane, 29, atakuwa tayari kuondoka katika klabu hiyo msimu huu wa joto ikiwa Real Madrid au Barcelona watamnunua.

Tetesi zinasema, Roma wanatarajiwa kufanya jaribio jipya la kumsajili kiungo wa kati wa Arsenal na Uswizi Granit Xhaka, 29, msimu huu.

Tetesi zinasema, Manchester United inamfuatilia kiungo wa kati wa Leicester City na Ubelgiji Youri Tielemans, 24, mwenye thamani ya pauni milioni 40.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Vilabu kadhaa vya juu vya Ligi ya Primia, wamemtazama mshambuliaji wa Reims, Hugo Ekitike. Newcastle United ilishindwa kumsajili Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 19 mwezi Januari.

Paris St-Germain wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Italia Moise Kean katika majira ya joto. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 yuko kwa mkopo Juventus kutoka Everton.

Newcastle United wanajiandaa kumnunua mlinzi wa Bournemouth Muingereza Lloyd Kelly, 23, bila kujali kama watashuka daraja.

Tetesi zinasema, Tottenham Hotspur wanataka kumsajili kiungo wa kati wa Inter Milan na Chile Arturo Vidal, 34.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Norwich City na Rangers wanamtazama mlinda mlango wa Schalke raia wa Austria, Martin Fraisl, 28, ambaye kandarasi yake itamalizika msimu wa joto.

Kiungo wa kati wa Real Madrid na Croatia Luka Modric, 36, amependekeza kwamba anaweza kuendelea kucheza hadi atakapofikisha umri wa miaka 40.

Mike Ashley bado anataka kununua klabu ya Championship ya Derby County lakini anatambua kwamba muda unasonga.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa