Wakati EPL ikiwa imekisha michezo 14 kuelekea mwishoni mwa msimu huu, Julai 2022 itatoa picha gani kwa msimu ujao?

Kiuhalisia, top 4 ya EPL haijulikani mpaka sasa. City na Liverpool zinapambania nafasi 2 za juu huku Chelsea, United, West Ham, Arsenal na Spurs wakiwania nafasi 2 zilizosalia. Swali ni – Je, timu gani itafanikiwa?

Ni utamaduni uliojengeka miongoni mwa vilabu na wachezaji wa EPL linapokuja suala la Top 4, kila timu pamoja na wachezaji wengi, wanailenga nafasi hiyo ili pia, waweze kucheza Ligi ya Mabingwa. Kufikia Julai 2022, nani atakua amefikia lengo.

Julai 2022, Julai 2022; Saka na Kane Itakuaje?, Meridianbet

Kimsingi, huo ni wakati ambao dirisha kubwa la usajili linakuwa wazi barani Ulaya. Kuanza kwa usajili wa majira ya kiangazi ni kiashira cha msimu wa 2021/22 kutamatika. Bukayo Saka na Harry Kane, itakuaje?

Saka amebakiza miaka miwili kwenye mkataba wake na Arsenal. Inasemekana, huenda huu ukawa ni msimu wake wa mwisho kule Emirates labda tu, The Gunners wafanikiwe kupata nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Man City na Liverpool zinahusishwa na mchezaji huyu.

Julai 2022, Julai 2022; Saka na Kane Itakuaje?, Meridianbet

Kwa Harry Kane ni kama tutaendelea tulipoishia usajili uliopita. Licha ya kusisitiza kuwa anafuraha chini ya uongozi wa kocha Antonio Conte, Kane hajaamua ni ipi hatma yake baada ya msimu huu. Inaaminika, kama ilivyo kwa Saka, Kane pia atafikiria kubaki Spurs endapo kama timu hiyo itafuzu kucheza Ligi ya Mabingwa.

Ikumbukwe, Julai 2022, baadhi ya wachezaji nyota barani Ulaya watakua wachezaji huru (labda itokee wamesaini mikataba mipya ndani ya msimu huu). Paul Pogba, Kylian Mbappe, Jesse Lingard, Edinson Cavani, Juan Mata, Antonio Rudiger, Alexander Lacazzette, Cezar Aziplicueta na Andrea Christensen ni miongoni mwa wachezaji huru baada ya msimu huu.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa