Klabu ya Leeds inamuangalia winga wa Wolves, Adama Traore kama mchezaji muhimu wanaetaka kumsajili katika majira haya ya kiangazi ili kumuongozea nguvu meneja Bielsa.
Mazungumzo ya mkataba mpya kati ya winga huyo wa Uhispania na kilabu chake yamekwama, na kuvutia wapinzani wao wa Ligi Kuu.
Leeds wanahitaji kujiimarisha kuelekea katika msimu mpya wa 2021/22 na kukamilisha saini ya Traore kunaweza kuwagharimu pauni milioni 30 kuwashawishi Wolves.
Traore bado ana mkataba na Wolves mpaka mwaka 2023 hivyo klabu hiyo bado wana nafasi ya kumbakisha mchezaji huyo lakini wanaweza kubadili uamuzi wao endapo ofa nzuri kuanzia pauni milioni 30 itapelekwa.
Leeds pia inakabiliwa na upinzani kutoka katika vilabu mbalimbali ikiwemo Liverpool, Chelsea na Barcelona ambao wamewahi kuhusishwa na mchezaji huyo.
SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!



Issa
Mtu hatare
Sania+mapua
Traore yupo vizur