Madrid Kufanya Lolote Kumpata Mbappe

Baada ya kuwaachia Sergio Ramos na Raphael Varane waondoke, Real Madrid inaripotiwa kuwa sasa Thibaut Courtois, Karim Benzema, Fede Valverde, David Alaba na Vinicius ndiyo wachezaji pekee ambao Madrid inatarajia kutowagusa.

Ukiachana na Thibaut Courtois, Karim Benzema, Fede Valverde, David Alaba na Vinicius, kila mchezaji wa kikosi cha Carlo Ancelotti yupo sokoni.

Real Madrid wapo tayari kuwauza asilimia kubwa ya wachezaji wao ili waweze kupata pesa za kufadhili uhamisho wa Kylian Mbappe.

madrid mbappe

Klabu haina mpango wa kuingia sokoni kusajili mchezaji mwingine wa kati, kwa mujibu wa Footbal Hispania watawekeza kwenye kuweka sawa mikataba ya David Alaba, Nacho na Eder Militao.

Real wamepania kuwa hawatasaini mchezaji mwingine yeyote kwenye dirisha la uhamisho isipokuwa Kylian Mbappe. Na watawauza wachezajib watakaopata ofa zao hadi mwisho wa mwezi Agosti kwa ajili ya kukamilisha suala hilo.


 

KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

2 Komentara

    Mbappe Yuko vizuri

    Jibu

    Noma

    Jibu

Acha ujumbe