Manchester City Waunga Tela kwa Martinez

Barcelona sio klabu pekee inayotamani kuinasa saini ya mshambuliaji wa Inter Lautaro Martinez, kwani inaripotiwa Manchester City wanamuona kama anafaa kuwa mrithi wa Sergio Aguero.

Barcelona hawakuficha kabisa mazungumzo yao kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina kwa mwaka jana, lakini Inter walikomaa kuwa wasingemuachia kwa chini ya dau la kumuachia la thamani ya Euro milioni 111.

Kwa mujibu wa Eurosport, Marca Claro na TyC Sports huko Argentina, Manchester City pia wanaandaa zabuni inayowezekana kumnasa mshambuliaji huyo wa miaka 23.

Manchester City waunga tela kwa Martinez

Lautaro anaweza kuwa mrithi bora wa Sergio ‘Kun’ Aguero, na mwisho wa siku anaweza hata kuishia kuwa mwanatimu mwenza na Lionel Messi.

Mkataba wa Messi na Barcelona unamalizika mwishoni mwa msimu huu na bado kuna sintofahamu juu ya mustakabali wake Camp Nou, akitajwa kuwa tayari kuungana tena na Pep Guardiola huko England.

Lautaro Martinez ana rekodi nzuri ya mabao 10 katika mechi 19 za timu ya taifa ya Argentina, wakati ana mabao 35 na asisti 10 katika michezo 94 ya mashindano ya Inter.


 

Bashiri ukiwa mahali popote!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

Ingia Mchezoni!

23 Komentara

    Martinez ni kiungo makini sana

    Jibu

    martinez anatamaniwa na vilabu vingi sana kwa sababu ya juhudi zake apo kikubwa mwenye dau kubwa ndo anaweza nyakua saini yake

    Jibu

    Namkubali sana Martinez anajua sana uyu jamaa

    Jibu

    Sizani kama intel watafanikiwa kumuuza martinez kwa dau ilo ukiangalia vilabu vingi vimeshuka viwango toka mripuko wa gonjwa wa korona ulivyo hingia

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri mno

    Jibu

    Kwa kujumba kwa inter wanaweza wasimuuze mchezaji huyo ilikuweza kuisaidia timu isishuke labda wawauze wengine

    Jibu

    Martinez mchezaji mzuli

    Jibu

    Anajua San kufunga

    Jibu

    Mchezaji mahiri sana

    Jibu

    Martinez Yuko makini sana

    Jibu

    Ni mchezaji makini sana kama wakifanikiwa kupata sain yake

    Jibu

    Martinez nikungo makini Sana kila krabu wanataka wapitishe saini yake mchezaji huyo kwaio apo tunaangalia mkwanja tuu Ndio Martinez atapo salia sehemu yenye mkwanja mdogo watasubili

    Jibu

    Saini ya Martinez inagombaniwa.kila mtu anataka kumchukua

    Jibu

    Always yuko gud

    Jibu

    Transfer window mambo ni moto

    Jibu

    Ni mchezaji mahili sana

    Jibu

    Hawajakosea Martinez fundi

    Jibu

    Martinez ni kiungo bora kabisa

    Jibu

    Martinez tupo vizuri sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Barcelona wanapenda kujambisha awana uwezo wa kumchukua martinez labda man city

    Jibu

    City na wajiandae kuchuana na barca

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.