Kama ilivyo kwenye vilabu vingine, ugonjwa wa Corona umeathiri mipango mingi kwenye vikosi. Man United ni miongoni mwa wahanga wa COVID19.
Alex Telles alibainika kupata maambukizi ya COVID19 na alikosekana kwenye michezo kadhaa ya Man United. Marakadhaa vipimo vilionesha bado anamaambukizi na hivyo haikuwa ikijulikana ni lini atakuwa vizuri zaidi kurejea uwanjani.
Kwa sasa, Telles yupo na kikosi cha timu ya Taifa ya Brazil na matokeo ya vipimo alivyofanyiwa akiwa na timu ya taifa yanaonesha amepona na hivyo atasafiri na timu hiyo kuwafata Uruguay.
Taarifa rasmi iliyotolewa na Manchester United kabla ya vipimo vya mwisho ilisema “tutamfanyia uchunguzi atakaporejea.
” Tunaimani anaweza kuwepo kwenye mchezo wa Jumamosi dhidi ya West Bromwich Albion.”
Telles alijiunga na Manchester United kwa mkataba wa miaka minne mwezi Oktoba kabla ya kupata maambukizi ya COVID19 mwishoni mwa mwezi huohuo.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Adelta
Manchester united poleni Sana kwa majanga coronavirus sio poa
magdalena
united wasiwe na shaka atapona na atakuwa sawa na maisha mengine yataendelea
Elika
Hii Corona sasa sio poa
Sauda
Corona hatari sana
Ester jackson
Safii sana kama atakuwepo katika mchezo Wa jumamosi Telles labda anaweza kuwapa tabasamu man u
Angelina
Goodnews
Gabriel
Telles atakuwa vzur
Carolyn
Wachezaji wengi corona haiwaathiri sana.coz ni watu wa mazoezi
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana kwakuwa naimani ya Telles kuwa kwenye hali yake yakawaida
Hopemwaikuka
Inawezekana pia
Ernest
Alex Telles akirudi atakuwa msaada mkubwa kwa Man U
zeiyana
Man u wanahali mbaya sana kama alex telles vipimo vyake havitakua sawa bac wanatakiwa wafanye kazi ya ziada sana si hivyo hii mechi hinaweza kua ngunu kwao
Saupha mohamed
Dhuuu majanga
Janeflora malisa
Vzr
aisha
Atakuwa sawa tuuu
Povel
Alex Telles ujio wake ataongezah kitu ndani ya manchester united
Issa
Mbinu za ole zitamkuza telles ila muda unahitajika
Fatina mfingi
Safi imani ndo kitu cha msingi sana!!
Mwajumah
Hii corona sasa sio pow
Sabrina
Telles atakua poa tu