Raisi wa shirikisho la soka la Italia (FIGC) Gabriele Gravina anaamini kuwa Julai utakuwa mwezi wa matumaini zaidi kwenye soka, na huenda hatua zaidi ikapigwa kurushusu mashabiki.
Soka bila mashabiki limetajwa kupunguza radha halisi ya soka, wengine wakisema ni kama mazoezi ya kawaida na wachezaji wanakosa morali licha ya kuwa wanaonekana kwenye vido.
Soka la limeendelea kudunda Italia wakati bingwa Juventus akichuana na AC Milan na kutoka kwa sare ya bila kufungana kwenye nusu fainali ya Coppa Italia, huku Juventus wakipenya kuingia Fainali.
Kurejea kwa soka ni hatua ya kwanza, ambayo kwa kiasi fulani imepunguza shauku kwa wapenzi wa soka ambao walikuwa wakiomba msimu umalizike kwa namna yeyote hata.
Kurejea kwa mshabiki dimbani kutakuwa ni hatua kubwa zaidi baada ya likizo ya lazima ya michezo karibu yote ulimenguni. Amsha amsha, shangwe za mashabiki zina nafasi katika kuwapa motisha wachezaji.
Kwa upande mwingine, vilabu vitaweza kupata kipato zaidi, angalau kama awali kupitia viingilio vya mashabiki na wapenzi wa soka.


Hidaya
Soka mwenzie ushabiki waruhusu tu watu afanye yao
isha
Kweli kabisa radha ya mpira ni mashabiki fanyeni mpango huo
Aziza mushi
Inapendezaa Sanaa na mashabiki wanawapa mzuka wachezaji.
Frank Patrick
Hakika ni kama mazoezi tu hakuna radha
Hope mwaikuka
Raha mechi mashabik buana
Ester jackson
Kwa upande mwingine, vilabu vitaweza kupata kipato zaidi, angalau kama awali kupitia viingilio vya mashabiki na wapenzi wa soka.
Povel
Habar njema
Gabriel
Kwa upande wangu me naona mashabiki ndo kila kitu hivyo mpira Kama ukichezwa bila mashabiki n sawa na kunywa chai bila sukar
Elika
Soka bila mashabiki ..wangeruhusu tuu lakini kuwe na idadi maalumu uwanjani
David Pere
Radha sio kwa wachezaji tu hata kwa wake wanaangalia kwenye vibanda umiza
Evaluziga
Jaman kweli bila mashabiki ainogi jamani ugonjwa bado upo
Tahiya
Hakika mashabiki uleta hamasa uwanjani
Rehema
Big up
Mwanaidi
Safi sanaa
felister
soka bila mashabiki kuna wanafanya wachezaji wakose morali
Isaya massawe
Bora iwe hivo maana bila mashabiki soka alinogi
Caroline
Mechi Bila mashabiki hainogi.bota tu iyo Julai ifike
Hamidu
Soka Bila mashabiki hakuna Radha
Kabisa..njoja tusubiri na kuona
Mwanahamisi
Safi sana
Dorophina
Soka bila mashabiki amna kitu wangeruhusu tu baadhi ya watu na kufuata maelekezo ya afya
Samiah
Bila mashabiki soka halinogi nibora wakaruhusu mashabiki lkn wafate markekezo ya afya
Amani
radha ya mpira ni mashabiki fanyeni mpango huo Ila uku kanuni za afya zikifatwa# meridianbettz
Furahav
Mmh ila angalia corona.
Zeiyana
Ni kweli uwongozi waangali ivyo kama itawezekana wapunguze idadi ya watu angalau waingie hata nusu ya uwanja..! Kama itawezekana
Theckla
Kurejea kwa soka ni hatua ya kwanza, ambayo kwa kiasi fulani imepunguza shauku kwa wapenzi wa soka ambao walikuwa wakiomba msimu umalizike kwa namna yeyote hata.
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii Sana icho ndicho tulichokuwa tunakisubilia
Ernest
Itakuwa pouwa sana kwani mashabiki wanaleta hamasa sana uwanjani kwa upande wa wachezaji
Shafii
Makala nzuri sanaa
Sadick
Inafurahisha kuona mashabiki wenye mzuka kama wa Liverpool. Tunasubiri kuona mashabiki wakitoa hamasa uwanjani#meridianbettz
Mwajuma
Itakuwa poa sana maana mpira bila mashabiki aunaladha
Salma
Wao!mchuzi umepata ndimu
lombo
dah itakuwa poa sana maana mpira bila mashabiki na sawa na mboga bila chumvi
Emmy cleopa
Makara nzuri
Magdalena
Soka ili inoge lazima iwe na mashabiki
warda
Itakua poa sana
Agness
Habari nzuri
Samira
Hii imekaa poa sana
Mariam mtandama
Habari mjema
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa poa sana
Omary lukumbi
Mashabiki siku zote ndio wanaleta hamasa kwa wachezaj
Fatina mfingi
Iko powah sna