Raisi wa Burundi Mh. Pierre Nkurunzinza amefariki tarehe 9 mwezi Juni akiwa na umri wa miaka 55 kutokana na tatisho za mshtuko wa moyo. Tasnia ya michezo nchini Burundi na Jumuia ya Afrika mashariri kiujumla imepoteza mwanamichezo, mtu ambae katika kipindi chake cha uongozi ametumikia na kuhakikisha ana saidia sector ya michezo licha ya Kuishiriki.
Nkurunzinza alikua ni mfuasi wa soka wa kutupwa, ambae alisimamia kwa urahisi shughuli zake za uongozi na suala zima la michezo kwa kujihusisha na mchezo wa soka, mazoezi ya kukimbia, mbio za baskeli pamoja na mchezo wa mpira wa kikapu. Kiufupi hata masaa kadhaa kabla ya kifo chake alifanya mazoezi ya mpira wa kikapu,
Pierre Nkurunzinza anamiliki pia timu ya mpira wa miguu inayoshiri ligi kuu nchini Burundi inayoitwa Le Ngozi Footbal Club ambayo ipo kwenye mbio za kuwania ushindi wa ligi kuu nchini Burundi.
Le ngozi pia ni timu ya wachezaji wawili kutoka uganda Steven Mugisha na Allan Brian Kizza ambao wakiongea na waandishi wa habari wamesema “Imetugusa sana kumpoteza raisi Nkurunzinza anapenda sana Mpira wa miguu, mara nyingi tulikua nae mazoezini na alifurahia sana kua karibu na sisi, hata juma tatu tulikua nae uwanjani kwenye mazoezi, imetuumiza sana.”
Nkurunzinza amefanikiwa kua na Shahada ya usimamizi wa michezo aliyoipata kwenye Taasisi ya mafunzo ya michezo (IEPS) katika chuo kikuu cha Burundi.
Hidaya
Duh apumzike kwa amani
Mwajuma
Hakika nipengo kubwa kwa tasinia ya michezo
isha
Duuh R.I.P. tumuombee apumzike kwa amani na kwenye tasnia ya michezo alifanya mengi
Frank Patrick
Ball control imelala hapo kwa mshuaaster Pierre R.I.P
Hope mwaikuka
Well said, R.I. p Nkurunzinza
Ester jackson
R I P nkurunzinza
Salma
Apumzike kwa amani
Povel
R ip 🙏🙏🙏🙏🙏
Furahav
Daah bwana ametoa na bwana ametwaaa.
Gabriel
Kiukwel me namtambua Kama mwanaharakati wa tasnia ya michezo African hili n pigo kubwa sana kwa wapenda michezo kumpoteza mwanamichezo mwenzetu ambaye tulitarajia kuona michezo ikue baran African . R.I.P mh Nkurunzinza 🙏🙏
Latifa juma mohamed
Mwanaharakat wa michezo so sad pumzika kwa aman
Elika
Tunamuomba Mungu ampumzishe kwa amani
David Pere
Kwanza alicheza mpira kabla ya kuwa rais wa Burundi na baada ya kuwa kiongozi aliwndeleza michezo Kama kawaida
Evaluziga
Pumzika kwa amani Baba
Tahiya
Mpambanaji pumzik kwa amani hakika wanamichezo tutakukumbuka daima
Rehema
Daahi pumzika baba
felister
Nkurunzinza atakumbukwa daima
Genia Sikaluzwe
R,I,P ampumzike kwa aman
Isaya massawe
Mungu amlaze pahala pema peponi
Caroline
Mungu amlaze mahali pema peponi
Hamidu
Tumepoteza mdau mkubwa mkubwa katika soka. ..daima tutakukumbuka Mr president#meridianbettz
Mwanahamisi
Pumzika kwa amani
Dorophina
Ameacha gepu kubwa sana kwenye mpira apumzike kwa amani
Samiah
Pumzika kwa amani jeshiii
Devotha
Pumzika kwa amani Nkurunzinza
Amani
Hakika nipengo kubwa kwa tasinia ya michezo# meridianbettz
Zeiyana
Ukiachana rais wa wanchi rais wa pila pia mwenyedhimungu hailanze roho yake maali pema nkurunzinza
Theckla
Apumzike kwa amani
Ernest
Pumuzika kwa Amani Nkurunzinza
Lydia Emmanuel Magoti
Mungu ampumzishe salama
Shafii
Atakumbukwa kweli nkurunzia alikua anasapoti michezo na anapenda michezo
Sadick
Hakika mpira aliupenda sana lakini mtu pia Paul Kagame alienda mbele zaidi kwa kufadhili mashindano ya CECAFA. Tutakukumbuka daima kwenye eneo hili #meridianbettz
Emmy cleopa
Rip
lombo
dah kwel nkurunziza japo alikuwa rais lkn hakubak nyuma katika kulisakata kabumbu RIP
warda
Alikuwa yupo vizuri Mwenyezi Mungu Ampunzishe mahala pema peponi#Meridianbettz
Magdalena
Atakumbukwa sana Apumzike kwa aman
Agness
Apumzike kwa amani
Samira
Pumzika kwa amani Mwenyezi Mungu akupe pumziko jema
Mariam mtandama
😭😭😭
Issa
Rip mkulunzinza