Ansu Fati ni Habari Nyingine Kubwa Katika Soka Ulimwenguni

Ansu Fati ni mzaliwa wa Guinea – Bissau anaye kipiga kwenye timu ya Barcelona ni mshambuliaji wa pembeni anaye tumia vyema mguu wake wa kushoto, amekuzwa na kulelewa katika kituo cha kufundishia  soka cha la masia katika  klabu ya Barcelona.

Kinda huyo aliye na umri wa miaka 17 aliwahi kutajwa kuhusishwa na uhamisho wa kwenda timu ya Juventus lakini taarifa hizo zilikanushwa kipindi cha nyuma.

Fati ambaye alikwezwa ngazi kutoka akademia ya Barcelona kuchezea kikosi cha kwanza msimu huu, aliweka historia Septemba 2019 kwa kuwa mchezaji wa umri mdogo zaidi  Camp Nou kuwahi kufunga bao ndani ya jezi za wapambe hao wa Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga)

Kuchezeshwa kwake katika msururu wa mechi za baadaye katika La Liga na Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) kulichochewa pia na jeraha lililokuwa likiuguzwa na nahodha Lionel Messi ambaye alikuwa mwingi wa sifa kwa chipukizi huyo hasa baada ya ushirikiano mkubwa kati yake na sajili mpya Frenkie De Jong kuwatatiza sana mabeki wa vikosi pinzani.

Kulingana na Valverde, Fati ana uwezo wa kumpiku Cristiano Ronaldo wa Juventus na timu ya taifa ya Ureno na kufikia kiwango cha Messi hivi karibuni. Kufikia sasa mwishoni mwa mwaka 2018 Fati ambaye kwa sasa kiwango chake kinalinganishwa na cha chipukizi Kylian Mbappe wa Paris Saint-Germain (PSG) na timu ya taifa ya Ufaransa, bado hakuwa amechezea taifa lake la Guinea-Bissau.

 

34 Komentara

    Habari nzuri kuna wanamichezo wenyekipaji zaidi ya cr7 na mess nimeipenda hii

    Jibu

    Dogo fundiii sana

    Jibu

    Jamaa ni hatarii sana

    Jibu

    Ansu Fati n kiungo mzur yaan wakimpata timu kama Arsenal itasaidia sana maana aina ya mpira wake unaendana na club hiyo

    Jibu

    Namkubali sana uyu kiungo

    Jibu

    Dogo yuko vizur sana

    Jibu

    Dogo anatisha Sana na Ndio atakuwa mrisi wa Messi pale Barcelona

    Jibu

    Hatimaye mrithi wa Messi hapatikana

    Jibu

    Namkubali sn

    Jibu

    Huyo jamaa yupo vizuri

    Jibu

    ahsanteni kwa kunijuza hili mm nilikua sijui Kama kuna wachezaji wengine wana vibaji zaidi ya Ronaldo na messi

    Jibu

    Huyo jamaa ni fundii wa mpira

    Jibu

    Ansu fati ni habari nyingine

    Jibu

    Dogo anajua Sana mpaka anakera#meridianbettz

    Jibu

    Yupo vizuri sn jamaa

    Jibu

    Jamaa yupo vizuri sn

    Jibu

    Vizuri sana kocha kumjenga mchemzaji mbadala ya wengine soka litazidi kua tamu ukimuona ansu fati umemuona messi hau lonaldo safi sana

    Jibu

    Ansu Fati n kiungo mzur yaan wakimpata timu kama man United itakuwa poa sana# meridianbettz

    Jibu

    Apambane sasa.

    Jibu

    Anakuja kasi sana

    Jibu

    Namuona kama mwendokasi

    Jibu

    Ansu ni mchezaji chipukizi ambae atakuja kusumbua ulimwengu wa soka hapo baadae

    Jibu

    Ansu aendelee kupambana asibweteke kwa kiwango anacho kionesha apambane afike mbali

    Jibu

    Ansu Fati nikiungo mzuri Sana anajua dogo huyo apambane hafike mbalili

    Jibu

    Inafurahisha kuona mchezaji anayekuuzwa na Academy ya Club na kupata nafasi ya kupanda ngazi ya juu. Kila la kheri Ansu Fati#meridianbet

    Jibu

    Ajitahidi afate nyayo za cr 7

    Jibu

    Mrithi wa messi dogo fundi

    Jibu

    dogo yuko vzur anajitahid kwa upande wake

    Jibu

    Yuko vizur sana

    Jibu

    Ni mchezaji mahili Sana ila awezi kumfikia Messi

    Jibu

    Tutamleta Msimbazi#Meridianbettz

    Jibu

    Yuko vizuri namkubali

    Jibu

    Ansu fat jembe

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.