Fury na Joshua Kuzichapa Mwakani - Eddie Hearn

Ni vizuri kusema kwamba  wote wa wili wamekubaliana kupigna mapambano ma wili.Promota Eddie Hearn amesema Anthony Joshua na Tyson Fury wamekubaliana kwa kufuata utaratibu kupanda uringoni kwa mapambano mawili mwaka ujao 2021.

Wacheza masumbwi hao wa uzito wa juu ambao wote ni raia wa Uingereza wanatarajia kupanda uringoni majira ya kiangazi mwaka ujao, Eddie amesema tupo kwenye maandalizi makubwa lakini bado kuna vitu tuna kabiliana navyo, tuna tafuta ukumbi pia tuna tathimini tarehe ya mapambano huu.

Hatuja fanya maswala ya mikataba sababu bado kuna vitu tuna tuna vifanyia kazi ,hili litakua kubwa ambalo halijawahi kutokea kwenye historia ya wanamasumbwi wa wa kiingereza na inawezekana lisitokee tena kwa kizazi hiki.

Fury hajapoteza pambano lolote kwenye uzito wa juu na Joshua anashikilia mikanda yenye cheo cha IBF,WBA na WBO ,Kabla ya kupanda uringoni kuzichapa Fury ana kandarasi ya kumkabili Dentoy Wilder mwanamasumbwi wa marekekani aliye mchapa kwenye pambano lao lililo pita hii itakua pamabano la mara ya tatu, wakati Joshua pia atakua na kibarua cha kumkabili Kubrat Pulev.

Tuna angalia ni namna gani tunaweza kuandaa ratiba ya pambano kwa mwaka ujao 2021, pande zote mbili wamesha kubaliana kwaajili ya pambano, ni pambano ambalo halijawahi kufanyika kwenye aridhi ya uingereza.

Fury alithibitisha kupigana na Joshua mwaka ujao kupitia mitandao yake ya kijamii aliandika Dili ya mapambano  mawili Fury vs Joshua. Tatizo moja? Namdondosha Wilder kisha naenda kumkabili Joshua mwaka ujao lakini nina tatizo lipo njiani anaitwa Wilder.

 

35 Komentara

    Litakuwa bonge la pambano natumaini Joshua lazima amuangushe fury

    Jibu

    💪💪

    Jibu

    Habar njema kwa wapenda masubwi

    Jibu

    Hii mechi inakuwa pambe sana ukiangalia Joshua yuko vzuri na ameshachukua mikanda IBF WBC nk

    Jibu

    Habari njema kwetu sisi mashabiki

    Jibu

    Mi nasubir kuona nani bingwa

    Jibu

    Nakuomba mungu anifikishe mwakani ili nilishuhudie Hilo pambano la Wana UK

    Jibu

    Utakuwa ni mpambano wa kukata na shoka huo

    Jibu

    🤸🤸🤸🤸

    Jibu

    Hilo litakuwa bonge moja gemu

    Jibu

    Hili pambano kila mtu analisubiria kwa hamu

    Jibu

    hili pamabano litakua la kukata na shoka

    Jibu

    Joshua lazma ashinde

    Jibu

    Aisee hii si ya kukosa

    Jibu

    Ngumi jiwe! Tusubil na kuona#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kwa wapenzi wa masumbwi mpambano utakuwa wakukata na shoka

    Jibu

    Wapenzi wa masumbwi nihabari njema

    Jibu

    Wa wili hao wanatafutana sana litakua pambano la kukata na shoka kila mtu hanamvizia nwenzake

    Jibu

    Litakuwa bonge la pambano

    Jibu

    Tyson fury yuko bomba sana.

    Jibu

    Pambano litakuwa kali

    Jibu

    Duuh mimi nasubili nione love

    Jibu

    Sio pambano la kukosa hili tunataka kumjua mbabe halali

    Jibu

    Duh kwangu ni ngumu kutabili Nani ataibuka kidedea pambano gumu Sana

    Jibu

    Ndondi mchezo wa kusisimua sana. Tunasubiri kuona badamu banamwagika #meridianbettz

    Jibu

    joshua hamuwez fury, fury kanipigia klisctkok kwenye ubora wake

    Jibu

    Joshua ajawah kuniangusha

    Jibu

    duh mambo ya masumbwi anton yuko vzur

    Jibu

    Daaah yani ili pambano litakuwa Kali sana

    Jibu

    Pambano Kali Sana ili

    Jibu

    Tunaisubiria sana pambano kali sana hilo

    Jibu

    Woyooo itakuwa ni balaaa#Meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kwa sisi wapenda ngumi

    Jibu

    Habari nzuri meridian huo mpambando utakuwa atari

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.