Mauro Icardi: Kuhamia PSG ni Hatua Kubwa!

Aliyekuwa nyota wa Inter Milan, Mauro Icardi amesema kuwa kuhamia kwake Paris Saint-Germain ilikuwa ni hatua kubwa sana katika maisha yake.

Staa huyu, raia wa Argentina aliondoka San Siro na kuingia PSG kwa mkopo mapema kuelekea msimu wa 2019/20.

Safari yake kuelekea PSG ilikuwa ni safari ya heri, hasa baada ya mabingwa hawa wa Ufaransa kuamua kumsainisha mkataba wa kudumu klabuni hapo.

Mauro Icardi PSG

Mchango wa Icardi umeonekana katika mechi zake 31 ambazo amechangia magoli 21. Akiwa katika msimu wake wa kwanza tu na PSG amefanikiwa kuinua taji la Ligue 1. Amewafungia PSG magoli 5 katika mechi zake 6 za Ligi ya Mabingwa na kuwasaidia PSG kufikia robo fainali.

Ilikuwa muhimu kwangu kupiga hatua kubwa katika maisha yangu ya soka. Nina miaka 27 sasa, nimetumia mda mwingi sana kule Italia.”

“Nilitaka kuifikia klabu bora kama PSG kushinda mataji na kucheza katika viwango vya juu zaidi. Hii ndiyo ilinifanya nitake mabadiliko na maendeleo katika maisha yangu ya soka.”

– Mauro Icardi

Icardi alitumia miaka yake 6 kuichezea Inter, na miaka 2 kuwachezea Sampodoria, Akaondoka Serie A akiwa amefunga magoli 121 katikia gemu 219.

Miaka yake yote aliyokuwepo Italia anaiona kama miaka ambayo haijampa mafanikio yale aliyokuwa akiyahitaji kwenye soka.


Unajiuliza kwa nini ujiunge na Meridianbet! Mtu makini sana anakupa sababu hapa!
Bonyeza Hapa JIUNGE SASA

53 Komentara

    Ni kwl maisha popote kikubw nafas ya kucheza Kama mchezaj

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nenda kapambane,mana maisha popote.

    Jibu

    Binafsi naamini uwezo mkubwa ambao Icardi anao lakini sidhani Kama PSG wamenufaika zaidi na kiwango au mchango wake ni muda ambao anatakiwa kuwafanya PSG waamini uwezo wake.

    Jibu

    Sio Mbaya acha aende#Meridianbettz

    Jibu

    Icardi ni mchezaji mzuri sana hii ni hatua kubwa sana kwake kukipiga PSG na kuchukua mataji hapo hakuna kitu kikubwa kwa chezaji kama mataji pia kucheza uefa ligi licha ya yote icardi bado anasafari ndefu ya soka na kwa kujituma kwake vilabu vikubwa vitahitaji sahihi yake,big up icardi kwa hatua iliyoipiga kwa kuleta mafanikio kwako

    Jibu

    Kwa upande wangu namtambua icard n bonge la mchezaji
    mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Italia Internazionale au Inter Milan, ambaye hutumiwa kuwa nahodha wa timu ya taifa ya Argentina.
    Alianza kazi yake katika mfumo wa vijana huko Barcelona kabla ya kuhamia Sampdoria, ambako alianza kazi yake ya kitaaluma. Alijiunga na Inter mwaka 2013, ambapo alikuwamchezaji bora mara mbili mwaka wa 2014-15 na msimu wa 2017-18, ambao alipewa tuzo ya mchezaji bora katika Serie A
    Hivyo kuhamia PSG tunasema bonge la shavu

    Jibu

    Niatua kubwa Sana kwani PSG ni timu kubwa yenye mafanikio makubwa niwakati wake sasa wa yeye kuonesha uwezo wake

    Jibu

    Pongez kwake

    Jibu

    Hongera sana maisha popote

    Jibu

    Jambo zur kam mchezaji

    Jibu

    Maoni:Asante kwa taarifa

    Jibu

    PSG walifanya jambo la msingi sana kumpa mkataba wa kudumu

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Icard ni bonge la mchezaj kwa kizazi hiki n mtu anae jituma sana tangu alipokua inter karibia club nyingi baran ulaya zilikua zinafukuzia sain yake hata man United walikua n miongoni mwao

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Maisha popote safi

    Jibu

    Inter watamkosa mchezaji wao mahili ,ila kijana anapambana wacha aende maisha ni popote

    Jibu

    Siyo mbaya acha aende tu.

    Jibu

    PSG ni timu nzuri sana so ni vizuri

    Jibu

    Nenda kapambane Maisha popote

    Jibu

    Kwa wakati wake ninakubaliana na kauli uake Lakini akawa akijua inter milan no timu kubwa na yenye history nzuri maana wamebeba kombe la UEFA, PSG hajawahi kuchukua, Wala hata kuingia final

    Jibu

    Hongera kqake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    PSG ama kwa hakika wamefanya vyema kumpa mkataba wa kudumu

    Jibu

    kwa umri wake ni klabu sahihi

    Jibu

    Ila anapishana na wachezaji wazuri wanatizamiwa kuondoka

    Jibu

    Hongera zake lcard

    Jibu

    Hongera zake#meridianbett

    Jibu

    Talent player#meridianbettz

    Jibu

    Icard ni mchezaji nzuri sana ambaye anajua kitu anacho kifanya na ukiangalia icard ni mchezaji ambaye anapenda sana mafanikio ya uchezaji wake hata alipo hamia katika timu ya PSG alipo ona mafanikio hapo alifurahi sana na ukizingatia akaweza kupata mkataba katika klabu huyo ni hatua mkubwa sana ambayo amefikia .#meridianbettz

    Jibu

    Pongezi nyingi Sana kwake icard na kila la kheri

    Jibu

    Vizuri kubadilisha upope

    Jibu

    Icard kambi popote

    Jibu

    Hongera Icard nenda salama kafanye kazi

    Jibu

    Maisha popote pale kikubwa soka linachezeka vizuri

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Sio mbaya wacha haende

    Jibu

    Ni hatua kubwa sana Hongera Icardi

    Jibu

    ni wakati wako ss kuonyesha uwezo wako nakutakia kila la kheri

    Jibu

    maisha popote kujituma ndo kila kitu

    Jibu

    Kwani maisha kokote juhudi yako ndio itakayo kuinua#meridianbettz

    Jibu

    Alitamka wazi anataka kuondoka Manchester United, bodi ya timu wakaweka pamba masikioni naamini hawakusikia hilo.

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Icard ni bonge la mchezaji ambaye hanayecheza kama mshambuliaji ni hatua kubwa sana kwenda PSG kwani ni timu kubwa sana ni wakati wake sasa yeye kuonesha uwezo wake

    Jibu

    Asante Meridianbet kwa taarifa njema kwetu

    Jibu

    Binafsi naamini uwezo mkubwa ambao Icardi anao lakini sidhani Kama PSG wamenufaika zaidi na kiwango au mchango wake ni muda ambao anatakiwa kuwafanya PSG waamini uwezo wake.

    Jibu

    Icard kuhamia psg kumempa nafasi sana ya kuonyesha uwezo wake tofauti na alipokuwa inter milan

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    He is still great footballer#meridianbettz

    Jibu

    He is still great me katika wachezaji ninao wakubali Ni icard

    Jibu

    Sio mbaya

    Jibu

    Maisha popote

    Jibu

Acha ujumbe