Ligi mbalimbali zinaendelea tena wiki hii, na meridianbet bado kuna pesa za kutosha kukupatia wewe mshindi.

EPL bado ni ya moto sana wiki hii tutashuhudia mechi nyingi zikipigwa viwanja tofauti. jummane hii Southampton waliotoka kupoteza mechi iliyopita watakipiga na Chelsea ambao wametoka kushinda mechi iliyopita. Mechi hii imepewa nafasi kubwa ya ushindi Soton kwa odds ya 5.09, bashiri sasa ushinde.

Meridianbet: Bado Hatujamaliza Kugawa Mihela

Jumatano ndiyo usipime mabingwa watetezi wa EPL watakuwa nyumbani kucheza na Nottingham Forest timu iliyosajili zaidi kuliko timu yeyote ikiwa imesajili wachezaji 18 mpaka. Je nani unamtabiria ushindi kwenye mechi hii? Weka utabiri wako hapa.

Jurgen Klopp atahitaji kuendeleza ubabe wake mbele ya NewCastle ambapo mechi itapigwa Anfield saa 22:00 pm, mechi inapewa odds kubwa na kuna machaguo 1000+

Meridianbet: Bado Hatujamaliza Kugawa Mihela

Arsenal watakuwa na kazi ya kuhakikisha wanabaki kileleni mwa msimamo wa Ligi pale watakapovaana na Aston Villa, huku Bournemouth walitoka kupigwa bao 9 watahitaji kufuta machungu dhidi ya Wolves. mechi hizi zote ni za ushindi bashiri sasa na Meridianbet

Meridianbet: Bado Hatujamaliza Kugawa MihelaLeo

kule kwenye Serie A Juventus atakipiga dhidi ya Spezia majira ya saa 21:45 pm. Na Napoli atamkaribisha Lecce kwenye dimba la Diego Armando Maradona saa 21:45 pm

Meridianbet: Bado Hatujamaliza Kugawa Mihela

Hatujamalizaa, kuna Ligue 1 nako kumewakaa, Psg atakuwa ugenini kukipiga na Toulouse waliopo nafasi ya 10, huku Lille watakipiga na Nice. Hujachelewa bado shusha mkeka wako sasa na odds za kijanja kutoka Meridianbettz

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa