Barcelona na Messi wameshindwa rufaa yao juu ya kesi ya kadi ya njano aliyooneshwa Messi baada ya kushangilia goli kwa kutoa heshima kwa legendari wa soka Diego Maradona.
Messi alitoa heshima ya kipekee kwenye mechi ya Ligi dhidi ya Osasuna baada ya kufunga goli huku picha ya tukio hilo ikigonga vichwa vya habari baada ya mechi hiyo.
Katika kushangilia kwake, Nessi alivua jezi yake ya Juu, na kuinesha jezi ya ndani yenye Namba 10 kumuenzi legendari Diego Maradona.

Hata hivyo, baada ya gemu kuendelea, muamuzi Mateu Lahoz alimpa kadi ya njano Leo na klabu ilitakiwa kulipa faini ya €3000 kwa Shirikisho la Soka Hispania (Spanish FA).
Barcelona walikata rufaa juu ya maamuzi hayo, lakini wameshindwa rufaa na Lionel Messi sasa atatakiwa kulipa faini ya €600 kwa mujibu wa kifungu cha 91 cha Kanuni za Nidhamu za Shirikisho la Soka Hispania.
Barcelona wana nafasi, na wanaweza kukata rufaa juu ya uamuzi huu kwenye Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS). Japokuwa bado hakujaonekana dalili kama watachukua uamuzi huu, klabu inaweza kufanya hivyo ndani ya siku 15 tu baada ya maamuzi hayo.
MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5
Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!



Sania
Duh balaa hilo
Lydia Emmanuel Magoti
Duuh sio poa
felister
mmmh wawapunguzie basi ata iyo faini jamani
Ernest Kimeru
Noumer sana
Shakila mrope
Du ongera san
Magdalena
Duh hii Kali sasa
Hopemwaikuka
Sheria zngne ovyo sana
Caroline
Wenzetu Wana sheria kali sana
Flomena
Duuu hii ni shida sasa
Khadija
Duh!!kweli hatari mno
Sarah
Duh balaa zito
Dorophina
Dhuu hili balaa Messi anaingiza klabu kwenye majanga
Samira
Duuu nomaaa sanaa
Rahmal
Duu iyo kiboko
Angelina
Hiyo hatar
Sadick
Sijui kwanini refaree aliamua kikatili kiasi hicho! Ni jambo la huzuni mno
Issa
Apate adhabu
warda
Pole yake