Beki wa kati wa Bologna Adama Soumaoro amesisiriza kuwa huu ni wakati wake wa kuwaonesha Bologna thamani yake pale anaporejea dimbani kwenye Serie A.
Nyota huyu mwenye miaka 28 amewasili kutoka LOSC Lille kwa mkopo, ambao ulikuwa na kipengele cha kumnunua Jumapili. Staa huyu wa Ufaransa tayari ana uzoefu na Italia baada ya kuwepo kwa mkopo Genoa msimu uliopita.
Adama Soumaoro anasema kuwa anafurahia kurejea Serie A, na anaamini kuwa atawathibitishia Bologna thamani yake kwa kuisaidia klabu kutimiza malengo iliyojiwekea. Mkataba wake wa sasa unaisha Juni 31, 2021.

Akinukuliwa na tovuti ya klabu Soumaoro alisema;
“Nimecheza Serie A msimu uliopita na nina furaha sana kuwa Bologna na kuisaidia klabu kufanikisha malengo yake.”
“Nimeweza kuongea na kocha na amenieleza kile ambacho anakitarajia kutoka kwangu. Sioni kama nimewekwa chini ya shinikizo, nitathibitisha thamani yangu ndani na nje ya uwanja na matokeo yatakuja tu kwa wakati”
MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5
Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!



Angelina
Nice update
Sania
Safi sana Adama kwa kujiamini
Lydia Emmanuel Magoti
Nikweli kilakitu kujiamini
felister
safi
Ernest Kimeru
Ngoja uone
Magdalena
Safi Sana kijana tunasubiri kuona maajabu yako
Hopemwaikuka
Vzur
Caroline
Adama onyesha viwango
Flomena
Amazing
Khadija
Hebu tuone
Sarah
Tunasubiri tuone
Dorophina
Tunasubilia kuona maajabu yake adama
Issa
Bek anaejua jukum lake
warda
Haya ngoja tuone