Valencia Kumrejea Cristiano Piccini

Klabu ya Valencia inatajwa kuwa inajaribu kumrejesha Cristiano Piccini ambaye yupo Atalanta kwa mkopo.

Taarifa zinataja kuwa Atalanta wapo tayari kusitisha mkataba wa mkopo wa staa huyu mwenye miaka 28 katika msimu huu wa baridi.

Nyota huyu wa upande wa kulia aliwasili Bergamo msimu uliopita lakini amekuwa akipata changamoto ya majeraha tangia aliporejea Serie A.

Valencia Kumrejea Cristiano Piccini

Atalanta walimsajili kwa dili la mkopo kukiwa na kipengele cha kumnunua, lakini taarifa zinasema sasa wapo tayari kumuacha arejee Valencia. Licha ya kuwa Valencia bado hawajafanya uamuzi kamili, wameomba kupewa mda wa kufanya tathmini.

Nyota huyu anaweza kurejea Hispania, lakini klabu inafikiria kumtafutia klabu nyingine zaidi katika dirisha hili hili. Mpaka sasa, Piccini amecheza mechi moja tu ya Serie A msimu huu.


MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5

Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!

INGIA MCHEZONI

16 Komentara

    Rudi nyumban

    Jibu

    Nyota huyu anaweza kurejea Hispania, lakini klabu inafikiria kumtafutia klabu nyingine zaidi katika dirisha hili hili. Mpaka sasa, Piccini amecheza mechi moja tu ya Serie A msimu huu

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    habari njema

    Jibu

    Rudi nyumbani kumenoga

    Jibu

    Watakuwa wamefanya Jambo la busara kumrejesha

    Jibu

    Jambo zur

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Atalanta walimsajili kwa dili la mkopo kukiwa na kipengele cha kumnunua, lakini taarifa zinasema sasa wapo tayari kumuacha arejee Valencia.

    Jibu

    Mambo sio mambo kwa Cristiano Piccini

    Jibu

    Rudi nyumbani

    Jibu

    Watakuwa wamefanya vizuri sana

    Jibu

    Habari njema nzuri hii

    Jibu

    Rudi nyumban kumepamba moto

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.