Messi Siyo Mchezaji Anayevuna Mkwanja Mrefu PSG

Gazeti la kuaminika nchini Ufaransa L’Equipe limetoa taarifa za mishahara ya kila mchezaji anayeshiliki Ligue 1,huku ikishangaza kuwa mchezeji ambaye wengi walidhani atakuwa akivuna mkwanja mrefu Lionel Messi akiwa sio sehemu ya kinara anayeongoza kwenye klabu hiyo.

Kitu kinachovutia zaidi kwenye taarifa hiyo ni kwamba mshindi mara saba wa ballon d’Or sio mchezaji anayelipwa zaidi kwenye klabu hiyo, huku mchezaji mwenza Neymar akivuta €4milion kwa mwezi huku Messi akivuta €3.375milion.

Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Argentina anapokea nusu ya ya mshahara ambao akiwa Parc des Princes kuliko alivyokuwa akilipwa kwenye klabu ya barcelona, alivyokuwa Camp Nuo messi alikuwa analipwa €61milion wakati Parc des Princes anavuta €25milion kwa mwaka, pia anapata €15milion kama bonus kwenye klabu hiyo.

Kylian Mbappe anashika namba tatu kwenye orodha ya wachezaji wanaovuta mkwanja mrefu huku akiwa anapokea €2.2milion kwa mwaka.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe