Ulimwengu michezo umeshtushwa na taarifa za mchezaji bora (kwa wanawake) duniani kwenye tenesi, Ashleigh Barty, kutangaza kustaafu mchezo huo.

Barty anastaafu kucheza tenesi akiwa na umri wa miaka 25 pekee na, anatundika daluga akiwa anashikilia nafasi ya 1 kwa ubora duniani.

Ashleigh Barty

Ashleigh Barty anaachana na mchezo huo akiamini ni uamuzi sahihi kwake wakati huu ambao anamalengo ya kufuatilia ndoto zake zingine. Anaachana na mchezo huu akiwa ni raia wa kwanza wa Australia kufanikiwa kutwaa taji la Australian Open akiwa kwenye ardhi ya nyumbani.

Ashleigh Barty, Ashleigh Barty Atundika Daluga, Meridianbet

Hakika, mashabiki wa mchezo wa tenesi wataukosa uhondo wa Barty anapokuwa uwanjani.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa