Klabu ya Fenerbahce inayocheza lig kuu nchini Uturuki, imetangaza kumuondoa kwenye kikosi chao mchezaji Mesut Ozil.
Ozil alijiunga na Fenerbahce baada ya songombingo za muda mrefu kule Emirates Stadium. Akiwa klabuni humo, Mesut Ozil ni miongoni mwa wachezaji wenye nafasi ya kuitumikia klabu hiyo na pia, ameshabeba jukumu la kuingoza klabu hiyo kwenye michezo ya hivi karibuni.
Pamoja na hayo yote, Fenerbahce imethibitisha kumuondoa Ozil na beki Ozan Kabak kwenye orodha ya wachezaji watakaowatumia kwenye michezo iliyosalia msimu huu.
3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!
Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.