Majibu juu ya Alexandre Lacazette;
Klabu ya Arsenal imethibitisha kupitia meneja wake Mikel Arteta, wamethibitisha kuwa hakuna mazungumzo yaliyofanyika juu ya mkataba mpya wa nyota wao Alexandre Lacazette.
Nyota huyu ameanza vyema msimu wake na washika bunduki, akiwafungia goli la kwanza kwenye mechi dhidi ya Fulham na West Ham United.

Staa huyu amekuwa akihusishwa na kuondoka klabuni hapo kwa mda kidogo, baadhi ya klabu alizohusishwa naye Barcelona, Inter Milan na Atletico Madrid.
Licha ya kusalia na miaka miwili kwenye mkataba wake wa sasa, Mikel Arteta anasisitiza kuwa kwa sasa hakuna mazungumzo yaliyofanyika na kwa sasa siyo kipaumbele cha klabu.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


jullie
habari mpya
Mwajumah
Asante kwa makala
Elika
Vizur
Gabriel
Me ninamatumain sana kuwa lacazett ataendelea kusalia Arsenal bado anaumuhim mkubwa sana
Saupha mohamed
Safi
Tatu
Mm naona kocha wa arsenal hana mpango kabisa na Alexander lacszetter
JULIANA WILBARD ALEX
Asante kwataharifa
Angelina
Makala nzuri
Zahara omary
Gud news
Lydia Emmanuel Magoti
Lacazett ataenderea kusalia Arsenal bado anaumuimu mkubwa Sana apo
Zeiyana
Hingekua vizuri Barcelona kama watainasa sain ya lacazett
Zahara omary
Vizur
magdalena
naona arsenal wanataka kumtema kijana wa watu
Ernest
Jeuri ya Arsenal hiyoo
Hidaya
Arsenal wanaonyesha msimamo thabiti
aisha
Arsenali wanajeuli sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Rehema
Bonge la makala
Ester jackson
Angebaki hapo arsenal ingekuwa powa zaidi kuliko kuondoka
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Aziza mushi
Habari nzuri
Sadick
Kwa namna Arteta alivyohaha kuhakikisha Aubameyang anaongeza mkataba inaonyesha Lacazette sio muhimu tena Arsenal#meridianbettz
Amiri Kayera
Akikiwasha lazm wamuongez mkataba
Hopemwaikuka
Wanajishaua
Issa
Ni wakati wa lacazete kujarib maisha sehem ingine
Neema
Habarii moto moto mnatujuza
Shan
Lacazett atafut chaka lingine kwakuw kwa uwepo wa auba inanyesha arteta hamhitaj
felister
hii inaonyesha arteta hana mpango na lacazetti
Nasra
Safi
Dorophina
Arsenal wanataka kumtema lacazette hawana lolote wakati mchezaji mzuri sana
Caroline
Mbona Kama Arsenal hawamtaki lacazzete.
Antony Luseno
Lacazette mshambuliaji ambaye akiwa kwenye timu tarajia matokeo
Amani
Akufukuzae akuambii toka
Salma ngende
Duh!!!
Faraja molell
Safi sana
Venerose
Jamaa Kama hawamtaki vile au ndio akufukuzae hakwambii toka
Janeflora malisa
Nice
Sauda
Ebwana ndiyo
David Pere
ninamatumain sana kuwa lacazett ataendelea kusalia Arsenal bado anaumuhim mkubwa sana