Hali bado haijawa shwari linapokuja suala la janga la virusi vya corona, hasa wakati Ulimwengu ukiendelea kupambana na usambazaji wa chanjo. Mkurugenzi mkuu mpya wa Roma naye amepata maambukizi ya virusi vya Corona.
Taarifa zinataja kuwa mkurugenzi Mkurugenzi huyu wa Roma Tiago Pinto amefanyiwa vipimo na kupatikana kuwa na COVID-19 akiwa huko Ureno.
Pinto alikuwa kwa sasa bado yupo na klabu yake ya Benfica na anatarajiwa kuungana na Roma mapema mwezi Januari.

Taarifa ya klabu ya Benfica imethibitisha kuwa Tiago Pinto amepimwa na kukutwa na COVID-19 na tayari ameondoka kwenye kambi ya mazoezi ya timu kabla ya mechi yao dhidi ya Supercup ya Ureno.
Suala hili ni taarifa mbaya kwa Roma, kwa kuwa linaenda kuathiri kuwasili kwake Italia. Alikuwa anatarajiwa kutia mguu wake Italia Januari 1, kwa taarifa hii kuna uwezekano akatakiwa kusubiri zaidi kabla hajaamua kusafiri kwenda Italia.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???



Mariam mtandama
Meridianbet muko vizur
Issa
Corona sio poa
Adelta
Pole yake
Caroline
Pole yake
Sarah
Corona noma sana
Rahmal
Corona atali sana
Hopemwaikuka
Dah
Tatu
Pole yake
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa Corona itawaumiza watu
warda
Hii Corona sio poa