Mlinzi wa Juventus Apata Corona

Klabu ya Juventus imethibitisha kuwa mlinzi wake, Alex Sandro amepatikana na Corona baada ya kufanyika vipimo.

Kwa mujibu wa tamko la klabu, baada ya kubainika na dalili za kuwa na Corona, maandilizi ya kumfanyia vipimo yalifanyika ambayo yalibainisha kuwa staa huyo alikuwa amepata maambukizi ya virusi vya corona.

Kupitia tovuti ya klabu, Tamko la Juventus linasea: “Klabu ya Juventus inatangaza kuwa baada ya kuonekana kwa dalili za msingi, vipimo viliandaliwa kwa ajili ya mchezaji Alex Sandro ambavyo vimeonesha kuwa ana covid-19.”

Juventus Alex Sandro
Alex Sandro Tayari ameshawekwa karantini wakati klabu ikiendelea kufuatilia utaratibu ili kuendelea na mazoezi.

Klabu tayari imechukua hatua za msingi, mchezaji huyu kwa sasa tayari anatengwa na klabu inafanya mawasiliano na mamlaka za Afya ili kutambua hatua gani zaidi na mambo ya msingi ili waweze kuendelea na mazoezi na shughuli za ushindani za timu.

Sandro alicheza dakika 83 za mchezo dhidi ya Udinese ambao Juventus waliibuka kidedea kwa bao 4-1 pale Allianz Stadium.


 

IUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

17 Komentara

    Duuh! Atari sana

    Jibu

    Uhu ugonjwa ni atali sana mungu atuepushe noma sana

    Jibu

    Ili gonjwa limekuwa balaa

    Jibu

    Corona sio poa

    Jibu

    Wazidi kuchukua tahadhari

    Jibu

    Ugua pole Alex

    Jibu

    Juve wamepata gepu kubwa sana

    Jibu

    Poleni sana

    Jibu

    Corona hatari

    Jibu

    Ugonjwa hatari sana

    Jibu

    Habari mbaya kwa Juventus

    Jibu

    Covid moto

    Jibu

    Duu abari mbaya kwa juve

    Jibu

    pole yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Duuh hatari hii corona ituache jaman

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.