Mourinho - "Flick Alistahili Dhidi ya Klopp".


 

Kocha asiyeishiwa vituko wa Tottenham, Jose Mourinho amesema kocha wa Bayern Munich, Hans Flick alistahili kuchukua tuzo ya kocha bora wa UEFA wa mwaka dhidi ya kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp.

Msimu uliopita Flick aliisaidia Bayern kushinda Bundesliga, DFB-Pokal na Champions League, wakati pia wakishinda UEFA Super Cup na DFL Super Cup mwaka 2020.

 

“Nadhani njia pekee kwa Flick kushinda tuzo hii, ni Bayern kushinda mashindano mengine mapya mawili au matatu.” alisema Mourinho akicheka.

“Hivyo labda akishinda mataji saba ndani ya msimu mmoja anaweza kushinda, kwasababu naamini kushinda mataji matano makubwa, Champions League, Bundesliga, Pokal, European Super Cup na German Super Cup.

“Kwahiyo nadhani Flick anahitaji mashindano mengine mapya mawili tuone kama anaweza kushinda tuzo hii.” aliongeza Mourinho.

 


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

13 Komentara

    Gud news

    Jibu

    Jose anataka kufurahisha balaza tu klopp ndie aliyestahili

    Jibu

    Flick saf

    Jibu

    Nikweli yupo sahii

    Jibu

    Good 👍

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Fact…

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kweli kabisa anastahili kupata kocha kolppa

    Jibu

    Klopp ndio anastahili

    Jibu

    Anastahili Klopp

    Jibu

    Mourinho akifugwa anapoa sana

    Jibu

Acha ujumbe