Muguna Kwenye Rada ya Azam

Taarifa mbali mbali nchini Kenya zinadai Azam FC bado wanawinda saini ya kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Kenya na nahodha wa Gormahia, Kenneth Muguna.

Muguna

Azam hawakufanikiwa kupata saini ya kiungo huyo mwaka jana lakini hawajakata tamaa na mwaka huu wapo kwenye mikakati ya kurudi mezani.

Kenneth Muguna amebakiza mkataba wa miezi sita na klabu yake ya Gormahia na mpaka sasa anaweza kuzungumza na klabu inayohitaji huduma yake.

Muguna akichuana na Rooney

Kwa sasa nchini Kenya sakata la usajili wa Muguna limeshika kasi baada ya kiungo huyo kubadilisha wakala.


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

CHEZA HAPA

3 Komentara

    Jambo zuri

    Jibu

    Fresh

    Jibu

    Acha wamchukue akiwa mzuri anakuja Simba

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.