Mwinyi Zahera Atua Gwambina

Aliyekuwa kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera ametambulishwa rasmi ndani ya klabu ya Gwambina FC yenye maskani yake Misungwi mkoani Mwanza.

Usajili wa mwaka huu umeonekana kuwa na msisimko mkubwa hali inayopelekea baadhi ya mashabiki kufurahishwa na kile kinachoendelea katika sajili hizi.

Wakati wa safari yao ya kuelekea Ligi Kuu Gwambina FC ilifanikiwa kutoa Mchezaji Bora wa ligi daraja la kwanza (FDL), Masawe Jacob na kutwaa tuzo.


Lakini pia kikosi chao kilifanikiwa kupata mfungaji Bora namba mbili ambaye alikuwa kijana Masawe Jacob baada ya kutupia kambani jumla ya magoli 10, kwenye mechi 22 alizocheza akizidiwa goli moja pekee mfungaji bora.

Ujio wa kocha bora kabisa Mwinyi Zahera itakuwa chachu na pengine kuleta hamasa na mafanikio ndani ya kikosi hiko cha vijana hao wa Misungwi, Mwanza?


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

34 Komentara

    Mwinyi zahera mzee wa boo ni kocha mzuri atakua msaada kwao.

    Jibu

    Hongera yake mwinyi Zahera akaiongoze vyema Gwambina iwe timu yenye mafanikio

    Jibu

    Yuko vzur

    Jibu

    Kila la kheri papa mutu ya watu ZAHERA

    Jibu

    Zahera Ni kocha mzuri atafanya kazi yake inavyo stahili @meridianbettz

    Jibu

    Kocha mzuri sana

    Jibu

    Zahera atawasaidia sana wana mwanza atafanya majukumu yake vizuri tu kuisaidia timu aliyochaguliwa

    Jibu

    ni kocha mzuli sana#meridianbettz

    Jibu

    Ni mtu mkweli sana nadhani wakati fulani hilo humuweka kwenye wakati mgumu na viongozi,kila la kheri mtu ya Congo#meridianbettz

    Jibu

    Ni kocha mzuri sana #Meridianbettz

    Jibu

    Kocha makini sana mwinyi zahera muache akafanye yake gwambina kila kheri

    Jibu

    ni kocha mzuri sana atakua msaada kwao

    Jibu

    Mwinyi zahera Sina Imani na ukocha wake.alituangusha Sana Wana yanga

    Jibu

    Safi sanaa madhani wengi wataanza kuishangilia gwanbina maana italeta mapinduzi ya mpira Tanzania

    Jibu

    Yupo poa sana mwinyi na atafanya makubwa na timu hiyo kutoka mwanza

    Jibu

    Hongera sana unachotakiwa nenda kapige kazi

    Jibu

    Kocha mzuri sana huyo

    Jibu

    Kocha mzuri sana nafikiri atawasaidia sana

    Jibu

    Kocha mzuri sana uyu

    Jibu

    Namkubali Sana

    Jibu

    Kocha mzuri

    Jibu

    Kochaa yuko fitiii ilee sana

    Jibu

    Zahera tena tusubili ili tuone

    Jibu

    Jambo zuri Sana kwa Wana gwambina mwinyi Ni kocha mzuri Sana.

    Jibu

    Gwambina watakua vizuri sana sababu zahera ni kocha mzuri

    Jibu

    Maisha popote.piga kazi mwinyi zahera

    Jibu

    Kocha hodar xana!!!!!

    Jibu

    Kila la kheri ZAHERA kwenye maisha yako mapya na Gwambina Fc

    Jibu

    Zahera ni kocha mzuri sana.

    Jibu

    kila la kheri zahera nina imani timu itanyanyuka sana kwa juhudi zako

    Jibu

    Zahera Anaipenda sana Tanzania naona itakuwa furaha kwake

    Jibu

    Zahera safi sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.