Kipa namba moja wa timu ya PSG ameongeza mwaka mmoja katika mkataba wake akihudumu PSG mpaka mwaka 2024.
Navas alihamia PSG akitokea Real Madrid mwaka 2019, na toka afike PSG amekuwa muhimili muhimu sana wa timu hiyo. Navas amecheza mechi 72 klabuni hapo na amesaidia timu yake kunyakua kombe la Ligue 1, the Coupe de France na Coupe de la Ligue msimu uliopita.
Baada ya kusaini mkataba huo, rais wa klabu hiyo Nasser Al-Khelaifi alieleza kufurahishwa sana na kitendo cha mchezaji huyo kuongeza mkataba kwani ni mchezaji bora sana!
“Nimefurahishwa sana na Navas kuongeza mkataba wake, ni mchezaji mzuri na anawapa kujiamini uwanjani na kupendwa na mashabiki“ alisema Nasser
PSG sasa wapo katika nusu fainali ya UEFA Champions League na leo watakutana na Chelsea, na wana matumaini makubwa kutoka kwa kipa wao huyo kama alivyofanya kwenye mechi zilizopita za timu hiyo.
KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.
Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?



Caroline
Habari njema kwa mashabiki zake
Issa
Kipa bora sana
aisha
Kipa anaejua kazi yake
Sarah
Habari nzuri
neema hassan
Asante kwa taarifa
Magdalena
Safi sana
[email protected]
Kipa anaweza sana
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri
Khadija
habari njema
Theonestina
Habari njema
Sauda
Anafaa sana
Sania mapua
Ni vizuri
Mariam mtandama
Vizur
Venerose
Vinzur