Shabiki aliyeanguka uwanjani kwenye mchezo wa Newcastle dhidi ya Tottenham uliokwishwa kwa newcastle kupoteza 3-1 kwenye uwanja wa Saint James Park, ameruhisiwa kutoka hospitali
Refarii Andre Marriner dakika ya 41 alisimamisha mpira na kuomba msaada wa madaktari kwenda kumsaidia Alan George Smith mwenye umri wa mika 80 kwenda kupata msaada wa haraka.

Klabu ilitoa taarifa, “tunapenda kuwatangazia kuwa shabiki yetu Alan Smith ambaye alikuwa mgonjwa mapema mwezi kwenye mchezo Newcastle vs Tottenham, ameruhisiwa kutoka hospitali siku ya jumanne katika hospitali ya City’s Freeman Hospital ambapo alikuwa anapatiwa matibabu.”
“Mr Smith alikuwa anahitajika kuwekea vifaa maalumu amabavyo vingeweza kumsaidia kupona, lakini mtoto wake paul alisema timu ya madaktari walifanya kazi nzuri kipindi ambacho walikuwa wakimuhudumia, familia inawashukuru sana.”
Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

CHEZA HAPA

