Pep Guardiola: Tutalala kwa Furaha kwa Siku 14

Pep Guardiola anasema kuwa Manchester City watalala kwa furaha kwa siku 14 kwa sababu bado wao wanaongoza ligi kuu ya Uingereza na hana wasiwasi kukaribiwa na timu ya Liverpool ambaye wamepishana kwa alama moja.

Kikosi cha Klopp kimeshinda michezo tisa mfululizo huku mchezo wao wa mwisho dhidi ya arsenal wakiibuka na ushindi wa goli 2-0 na kupunguza wingi wa alama na kubaki alama moja tu dhidi ya Man City, huku msimu huu Liverpool akiwa tayari ana kombe moja kwenye kabati la Carabao Cup.

Pep Guardiola kwa sasa anajianda na mchezo wa FA Cup dhidi ya Southampton, huku akiwa anahitaji kushinda na kucheza nusu fainali ya mashindano hayo kwa msimu wa nne mfululilizo, pia Liverpool akiwa ni moja ya timu zilizobaki kwenye mashindano hayo pia.

“Ilivyo ndivyi hiuvyo, tutalala na kwa amani kwa siku 14 tukiwa kileleni mwa ligi  na baada ya mapumziko ya kimatifa kuisha tunarudi kumalizia michezo tisa, naamini kila mmoja wetu anajua nini tunatakiwa kufanya, ni changamoto kubwa, tutapambana nayo, tutaanza na Burnley.” Alisema Pep Guardiola

“Tunaongoza kwenye ligi kuu ya Uingereza, sijui kama tutashinda lakini hatma yetu iki mikononi mwetu.”


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

 

Acha ujumbe