Tuchel Awakataa Man United.

Wakati Man United ikuhusishwa na makocha wengi barani Ulaya, Thomas Tuchel amewakataa mchana kweupe.

Tuchel amesema haya baada ya kuwa na taarifa kadhaa zinazomuhisisha na kibarua kule Old Trafford wakati huu ambao, Chelsea wapo kwenye hali ya sintofahamu kuhusu umiliki wa timu.

Ni dhahiri, hakuna kocha mwenye uwezo wa Thomas ambaye hana kazi kwa sasa na hivyo, United wamejikuta wakihusishwa na makocha wawili tu – Mauricio Pochettino na Erik Ten Hag. Makocha hawa, hawana uwezo mkubwa kama ambao Thomas anao akiwa amefundisha vilabu vikubwa kama Borussia Dortmund, PSG na Chelsea.

Kulekea mchezo wao wa FA dhidi ya Middlesbrough, Tuchel amesisitiza kuwa na furaha na pia, anajivunia kuwepo Chelsea na kubwa zaidi ni kwamba, anasababu nyingi za kumfanya aendelee kuwepo Stamford Bridge. Kwa hili, hajisumbui kabisa na maneno ya kumuhusisha na Manchester United.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe