Karim Benzema Mguu Nje Mguu Ndani El Clasico

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema leo hajafanya mazoezi ya pamoja na timu kwenye viunga vya Valdebebas, ila amefanya mazoezi mepesi ya ndani pamoja na Ferland Mendy na Gareth Bale.

Ferland Mendy na Karim Benzema walifanya mazoezi ya ndani kwa sababu wapo chini ya uangalizi kutokana kuwa wanauguza majeruhi, wakati Gareth Bale sio sehemu ya mejeruhi ila ameondolewa kwenye kikosi hicho na bado haijulikani kama atakuwepo kwenye kikosi cha jumapili.

Ni ngumu kutabiri ikiwa Karim Benzema atacheza ua hatacheza kwenye mchezo wa El Clasico siku ya jumapili, mpaka sasa, haikutegemewa kama angeweza kufanya mazoezi yeyote, hii inaleta matumaini lakini bado hakuna uhakika kama atajumuishwa kwenye kikosi cha jumapili.

Carlo Ancelotti hatarajiwi kumhatarisha mshambuliaji wake kwenye El Clasico, kwani ana michezo muhimu hivi karibuni ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Chelsea.

Kwenye vipimo alivyofanyiwa Karim Benzema hakuna kitu cha kutia shaka kuhusu majeruhi yake kama ilivyoripotiwa hivi leo, ila linapokuja swala la kucheza kwenye mchezo wa jumapili tutasubili taarifa za mwisgo kesho jumamosi.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe