Pirlo - Sina Mpango na Higuain wala Khedira

Mshambuliaji, Gonzalo Higuain na Kiungo, Sami Khedira hawatokuwa sehemu ya mipango kwenye kikosi cha Juventus chini ya kocha mkuu mpya, Andrea Pirlo.

Juventus wanajadili Kusitisha mikataba ya nyota hao wawili kuliko kungojea kumalizika kwa mikataba yao mnamo 2021, kulingana na vyanzo ni kwamba Mazungumzo yanaendelea juu ya malipo ya Kusitisha mikataba ya Higuain na Khedira.

Higuain, 32, alifunga mabao nane tu katika mechi 32 kwenye Serie A msimu wa 2019-20 akirejea baada ya kutumia muda mwingi kwa mkopo huko AC Milan na Chelsea – Wakati huo huo, Khedira, atakuwa tayari kumfuata Miralem Pjanic na Blaise Matuidi nje ya Klabu hiyo wakati Pirlo anapoanza kujenga upya kikosi hasa katika eneo la kiungo huko Turin.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 alianza mechi tisa tu kwenye ligi kwani wakati mwingine alionekana kutokuwa na kiwango kama enzi zake hapo nyuma – Juventus tayari imekamilisha uhamisho wa Arthur Melo kutoka Barcelona.

Pirlo aliteuliwa kama Kocha Mkuu mpya wa Juventus Aug. 8 licha ya kutokuwahi kuwa kocha tangu kustaafu kazi yake ya kucheza, Kiungo huyo alichukua nafasi ya Sarri, ambaye alishinda Scudetto lakini hakuweza kuipatia Juve mafanikio zaidi ya Ligi ya Mabingwa kwa kuondoshwa hatua ya 16 Bora.


Beti Mbio za Mbwa Mubashara.

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

32 Komentara

    Ni kweli hawatamfaa kwenye mipango yake

    Jibu

    Asante sana meridianbet

    Jibu

    Subiri tuone mipango yake pirlo kama hayo maamuzi yataweza kuimarisha kikosi chake ukiangalia na Latina iliyo wekwa yani kuitajika vikosi viimalike zaidi ya

    Jibu

    Waondoke tu watapata dili sehemu nyingine@meridianbettz

    Jibu

    Yuko sahihi pirlo kuongea hivyo

    Jibu

    Hawatakidhi mahitaji yake..

    Jibu

    Waondoke tu watapata dili sehemu nyingine@meridianbettz

    Jibu

    Naona wanataka kunoa kikosi

    Jibu

    naona pirlo anataka kusuka upya kikosi

    Jibu

    pirlo ana mipango mikali sana lakini ngoja tuone kama itafanikiwa

    Jibu

    Asante kwa nakala

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Asanten kwa makala

    Jibu

    Hizi ni changamoto ambazo wachezaji wengi wanakutana nazo wanapokuja machoka wapya kwenye timu, Lakini sio mbaya Higuani na Khedira watapata tuu timu za kukipiga

    Jibu

    Sio jambo la kushangaza kwenye mpira kwa sababu kila mwalimu hua anambinu zake na aina ya wachezaji anaowahitaji kufanya nao kazi.

    Jibu

    Umri nao tatizo

    Jibu

    Umri tatiz vle vle kwny plan ya pirlo hawapo hao kwny msimu ujao hao

    Jibu

    Fukuzaa hao hawafai kwa sasa!!!

    Jibu

    Kiwango kimekwisha.

    Jibu

    Kila mtu anatambua kuwa pirlo n kocha mzur ila now hatujui kwann ameamua kufanya hivyo maana yeye ndo kocha tena mzur sana na anahistoria kubwa sana kweny mpira na club hiyo kabla ya kuwa kocha hapa ngoja tusubir matokeo tuone mwisho inakuaje?

    Jibu

    Sawa babu suka kikos upya

    Jibu

    Asante kwataarifa

    Jibu

    Watafut njia nyingne umli umeenda

    Jibu

    Mmmh! Haya nangoja niome mipango take itaishia wap?

    Jibu

    Kwa umri wao wanaitaji timu ambayo Haina changamoto sana

    Jibu

    Umri umwatup mkono hawa watu

    Jibu

    Naona pirlo anataka kupanga kikosi chake vizuri

    Jibu

    Hawana shuhuli

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Pirlo anataka kutuma salamu kwamba hatakuwa na simile msimu utakapoanza kwamba anataka kujenga upya timu kufikia malengo anayohitaji#meridianbettz

    Jibu

    Bora hata Khedira Huyo Higuain namwonaga hajui kabisa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.