Pogba Amtengenezea Martial Goli la Kwanza la Msimu!

Ni wazi Pogba ameamua kuwaweka wazi mashabiki wa Manchester United kile ambacho watakuwa wana kikosa pale atakapoamua kutemana na Manchester United.

United walianza kuongozwa dakika ya 5, baada ya D. McGoldrick kuwapa wenyeji goli la kwanza la mchezo, kisha Rashford akapindua meza dakika ya 26, kabla Martial kuweka nyavuni goli la pili dakika ya 33 na Marcus Rashford kumaliza na bao la tatu kwenye ushindi wa 2-3 wa United.

Pogba ametoa mchango maridadi kwenye ushindi wa Manchester United dhidi ya Sheffield United kupitia asisti makini aliyoipitisha kwa Anthony Martial.

Mpira ulitokea upande wa Bruno Fernandez, ambaye alimchezesha Paul Pogba, naye hakuwa na hiyana zaidi ya kuusukuma kwa umaridadi kwa nyota Anthony Martial ambaye aliweka nyavuni goli lake la kwanza la msimu wa EPL.

Paul Pogba

Namna hii alionesha kwa nini United walilazimika kumlipia dau la £89m kwa ajili ya kumrejesha Pogba United kutoka Juventus.

Wakati hili likiwa goli lake la kwanza ka EPL kwa mechi zake 8 alizocheza, Anthony Martial amefanikiwa pia kuweka nyavuni magoli mawili tu kwenye Ligi ya Mabingwa msimu huu.


 

BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

10 Komentara

    Kwa uwezo wake Pogba ndio maana man u wameamua kumludisha dimbani

    Jibu

    Pogba Yuko makini na kazi yake

    Jibu

    Gud job Pogba

    Jibu

    Pogba Yuko vizuli

    Jibu

    Man u hawawezi kumuachia pogba kirahisi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safiii sana

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Nilifurahia Martial alivyofunga goli

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.