Bado ni sintofahamu kunako klabu ya PSG kuhusu hatma ya Kylian Mbappe. Uchumi wa vilabu umeathiriwa sana na COVID19, hali sio shwari.

Inasemekana, baada ya kusajili wachezaji wanne mpaka sasa, PSG inampango wa kuwauza wachezaji 9 ili kuweka sawa mahesabu yao na kuboresha mkataba wa Mbappe. Taarifa zinasema Mbappe atapewa mshahara kama anaopewa Neymar Jr.

PSG, PSG Kuuza 9 Ili Kylian Mbappe Abaki, Meridianbet
Paul Pogba

Wachezaji 9 walioposokoni ni pamoja na Alphonse Areola, Leandro Paredes, Idrissa Gueye, Rafinha Alcantara, Mauro Icardi, Pablo Sarabia  na Arnaud Kalimuendo. Sambamba na kuuza wachezaji hawa, Paris Saint Germain inampango wa kuelekeza nguvu zake kwa Paul Pogba wakiamini kuwa dau la £50M litatosha kumtoa Pogba Man United.


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa