AJ vs Usyk, Septemba 25, 2021.

Bingwa wa dunia, Anthony Joshua (AJ) ataingia ulingoni kutetea ubingwa wake dhidi ya Alexander Usyk Septemba 25, 2021.

Pambano hili ambalo ni la lazima kwa AJ ambapo ataweka mikanda mitatu – IBF, WBA na WBO mezani na kuipambania dhidi ya Usyk kabla ya kuingia ulingoni dhidi ya Tyson Fury.

Kabla ya mambo kwenda tofauti, Anthony Joshua alikuwa apande ulingoni Agosti 14,2021 kuchuana na Fury katika kuwania mikanda minne – IBF, WBA, WBO na WBC. Lakini, Fury aliamriwa kuipambana kwa mara ya 3 na Deontay Wilder kuwania mkanda wa WBC huku AJ akipaswa kuchuana na Usyk kuwania mkanda wa WBO.

Pambano la Joshua vs Usyk litachezwa katika dimba la Tottenham Hotspur.


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe