SARE ya Tanzania Prisons ya bila kufungana na Simba leo Uwanja wa Sokoine Mbeya zimehalalisha rasmi ubingwa wa Simba. Mchezo huo uliokuwa na ushindani kila timu ilikuwa ikipambana kusaka ushindi ila mwisho wa siku mbinu zikatoshana na kuwafanya wagawane pointi mojamoja.
Simba inafikisha pointi 79 ambazo haziwezi timu yoyote kwa sasa. Wapinzani wake wakubwa ambao ni Yanga kwa sasa ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 60 baada ya kucheza mechi 32. Mechi zake sita zilizobaki ikiwa itashinda zote itafikisha jumla ya pointi pointi 78 ambazo zimeshapotwa na Simba huku Azam ikishinda mechi zote inafikisha pointi 77.
Huu unakuwa ni ubingwa wa 21 kwa Simba na wa tatu mfululizo kubeba kwa msimu huu ilianza msimu wa 2017/18,2018/19 na 2018/20. Kikosi cha leo cha Simba kilikuwa na mabadiliko makubwa ambapo wachezaji wengi waliokuwa hawapati nafasi kikosi cha kwanza walianza.
Prisons iliyo chini ya Kocha Mkuu, Adolf Rishard ilikuwa imara kwenye mashambulizi huku kiraka Salum Kimenya akiwa ni mwiba wa safu ya ulinzi ya Simba. Manula alifanya kazi ya ziada kipindi cha kwanza kuikoa michomo ya Kimenya ambaye alikuwa akifanya majukumu yake ndani ya uwanja.
Baada ya sare hiyo Tanzania Prisons inafikisha jumla ya pointi 43 kibindoni.
David Pere
Wamestahili kuchukua ubingwa wa ligi kuu bars maana walikuwa vizuri sanaa msimu huu
Hilda
Pongezi kwao simba
Evaluziga
Piga kelele kwa Simba wake hongereni kwa kuchukua ubingwa
Emmy cleopa
Simba wanastaili kupata ubigwa
warda
Katika Habari Ambayo Imenikosha Ni MNYAMA kuchukua Ubigwa Ikiwa bado hajamaliza michezo yote DUuuu Hatari Na Nusu#Meridianbettz
mwakalosi
hili lilijulikana kitambo sana
felister
pongezi ziwafikie Wana simba
Lydia Emmanuel Magoti
Wamestairi kuchukuwa kombe kwasababu ilikuwa inaoneka kitambo Kama ubingwa niwaho Simba kwaio wanasimba shangwe kufurahi ushindi
Rehema
Pongezi kwao
Adelta
Pongezi kwa mashabiki wa simba
lombo
piga kelele kwa mnyama ONGERA SAAAANA KWAKE
Salma
Hongera kwao
Johnmary joel
Mnyama mkali achanae#meridianbett
Gabriel
habar njema sana 👍
Simba sport club # meridianbet Tanzania
Theckla
Hongera zao kwa Wana Simba wote
Khadija
Habari njema#meridianbettz
Issa
Ni haki yao kuchukua ndoo walikuwa vizuri msimu huu
Mwanahamisi
Asante kwa taarifa
Devotha
Hongera zao
Angelina
Mnyama kama mnyama alistahili
Ester mmakasa
Hongera sana kwa Simba akeee.
Hope mwaikuka
Congratulations simba
Jullie
THIS IS SIMBAAAAAAAAAAAAAAAA NA TUNABEBA TENA MWAKANI
Omary lukumbi
Hongera sana watan wangu wa jadi mmefanya vzr msimu huu na muda fulan zinasaidia porojo za haji manara kuaminisha shabiki nimeona mpira wa ki ubingwa mlokua mkicheza kibingwa bingwa mapigo kama Bruce lee
Magdalena
Kabisa Simba ndo mkali wa mpira Tanzania hakuna wa kumpiku
Saupha mohamed
Simba bingwaaaaa
Hamidu
Congrats Simba SC#meridianbettz
Povel
Hongera kwao. Tukatane kimataifa✈️✈️✈️✈️🛩️🛩️✈️✈️✈️🚁🚁
Sadick
Hili liwe chachu ya kufanya vizuri mechi za kimataifa#meridianbettz
Furahav
Hongera simbaaaaaaaa.
Fatuma kasomo
Safii simba
Ernest
Bonge la Rekodi kwa Simba, Mwaka huu wamestahili japo wameanza kushuka kiwango
Sabrina
Maoni:Hongera simbaa
Njiku
Big up kwa simba walistahili kuwa mabingwa wamechukua taji hilo kwa kishindo safii kwa mashabiki wa yanga
Caroline
Há há mbona ubingwa lakini mmepoa.. Hakuna amsha amsha
Genia Sikaluzwe
Hongera zao simba
Tatu
Bonge la ubingwa this is simba
Dorophina
Hongera kwao simba
Shafii
Wanastahili pongezi
Kenani
Siiiiimbaaàaaaaaaa🔥🔥🔥🔥