Real Madrid mabingwa watetezi wa kombe la ulaya leo watakua uwanjani kwenye michuano hiyo wakiwakaribisha Red Bull Salrzburg kwenye dimba la Santiago Bernabeu.

Madrid wanakwenda kucheza mchezo wa pili kwenye kundi F baada ya kushinda mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya klabu ya Celtic kutoka Uskochi leo wanakaribisha Leipzig katika dimba lao la nyumbani timu hiyyo kutoka Ujerumani ambayo ipo chini ya mwalimu mpya Marco Rose wakionekana kuanza kuapata makali baada ya kuwafunga Borussia Dortmund kwenye mchezo wa ligi kuu Ujerumani wikiendi iliyopita.

real madridMabingwa hao wa ulaya wanakwenda kucheza mchezo huo wa kwanza nyumbani kwenye ligi ya mabingwa ulaya tangu walipoitoa klabu ya Manchester City kwenye nusu fainali baada ya kupinduua meza dakika za lala salama.

Real wanakwenda kwenye mchezo huu wakiendelea kumkosa mshambuliaji wao hatari Karim Benzema aliepata majeraha katika mchezo dhidi ya Celtic ila timu hiyo bado ina wachezaji wao wengi wanaoweza kusaidia timu hiyo kupata matokeo katika mchezo huo.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa