Rekodi ya Ole Gunnar vs Guardiola

Ole Gunnar vs Guardiola

Ole Gunnar Solskjaer na Pep Guardiola wanashuka tena dimbani kwa mara nyingine Jumamosi alasiri, huku Manchester United wakiikaribisha Manchester City kwenye dimba la Old Trafford kwenye Premier League.

Wenyeji mashetani wekundu walipata ushindi wa 3-0 dhidi ya Tottenham Hotspur wikendi iliyopita, kwa sasa wako nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi, wakiwa na pointi tatu nyuma ya Man City katika nafasi ya tatu kwa idadi sawa ya michezo (10).

Timu zote zitaingia kwenye mchezo huo zikiwa matokeo mazuri ya Ligi ya Mabingwa, huku Man United wakisalia kileleni mwa Kundi lao la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa sare ya 2-2 na Atalanta BC Jumanne.

Rekodi ya Ole Gunnar vs Guardiola
Ole Gunnar vs Guardiola
Kuelekea mchezo wa wikiendi hii, hapa nakuwekea rekodi ya uso kwa uso Solskjaer vs Guardiola

Aprili 24, 2019 – Man United 02 Man City (Premier League)
Disemba 7, 2019 – Man City 12 Man United (Premier League)
Januari 7, 2020 – Man United 13 Man City (League Cup)
Januari 29, 2020 – Man City 01 Man United (League Cup)
Machi 8, 2020 – Man United 20 Man City (Premier League)
Disemba 12, 2020 – Man United 0-0 Man City (Premier League)
Januari 6, 2021 – Man United 02 Man City (League Cup)
Machi 7, 2021 – Man City 02 Man United (Premier League)


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe