Baada ya staa wa timu ya taifa ya Ureno na nyota wa zamani wa vilabu vya Man United, Real Madrid, na Juventus Cristiano Ronaldo hofu imetanda kwamba klabu hiyo inaweza ikapata changamoto kwenye uuzwaji wake.
Klabu ya Manchester United imetangazwa kuuzwa siku chache tu baada ya nyota huyo kuachana na klabu hiyo, Na watu wengi kufikiri kuondoka kwake inaweza kuathiri uuzwaji wa klabu hiyo lakini mtaalamu wa masuala ya fedha kwenye Kieran Maguire amesema haiweza kua changamoto.
Hofu ilitanda kwakua Ronaldo ni mchezaji mwenye ushawishi mkubwa haswa kibiashara hivo baada ya Glazers ambao ni wamiliki wa klabu hiyo kutangaza kuiweka sokoni klabu hiyo wengi waliona itakua changamoto kwa klabu hiyo kuuzika baada ya kukosa mchezaji ambae ana mvuto wa kibiashara.
Lakini bwana Kieran Maguire anaeleza kua haiwezi kua tatizo kwa klabu hiyo kupata wawekezaji wapya kwakua hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu na watu wa Ronaldo mara nyingi ilijali zaidi jina la mchezaji kuliko klabu ambayo anaitumikia.
Manchester United imetangazwa kuwekwa sokoni na taarifa hiyo imepokelewa kwa mikono miwili na mashabiki wa klabu hiyo, Na hii ni kutokana na kuamini wamiliki wasasa wa klabu hiyo wanasababisha timu hiyo kutokufanya vizuri.

Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

