Rooney na Lampard wafanyiwa "Interview" na Everton

Kocha wa Derby Wayne Rooney na kocha wa zamani wa Chelsea Frank Lampard wamefanyiwa “Interview” na klabu ya Everton kuhusu kuchukua mikoba ya kuinoa klabu hiyo baada ya Benitez kufungashiwa virago.

Japokuwa Roberto Martinez anapewa kipaumbele kuweza kuchukua kazi hiyo, bado ana kazi ya kuifundisha timu ya taifa ya Belgium, kuna ugumu wa kumpata kutokana na kuingoza timu ya Belgium kwenye michuano ya ligi ya kombe la Dunia Qatar mwaka huu.

 Rooney

Rooney ambaye kwa sasa anamatatizo na klabu yake ya Derby baada ya kuwa na kibarua kizito kutokatana timu hiyo kukatwa pointi 21, kutokana na matumizi mabaya ya pesa yaliofanywa na mmiliki wa klabu hiyo,  ikiwa Everton itaamua kumpa kazi basi hata sita kukubalina nao.

Lampard mpaka sasa hana kibarua chochote tokea afungashiwe virago na klabu ya Chelsea mwaka 2020, Everton itakuwa ni chaguo sahihi kwake kurudi tena kwenye mbio za mchakamchaka wa kuendelea kupata uzeofu zaidi.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe